Maombi mapya TRA

Shukrani ngoja nitafanya hivyo
Mrejesho: nimefuata taratibu nilizoelekezwa humu kubadilisha PDF kwenda JPG na nikafanikiwa kubadilisha lakini kila niki-upload kwenye portal ina niambia successfully saved lakini niki-view nakuta bado hakujabadilika. Naombeni niongezewe technical advice. Otherwise awamu ya kwanza mlinishauri vizuri. Thanks!
 
Log out kisha baadae log in
 
Hebu jaribu kubrowse kwa browser tofauti, kama mwanzo ulitumia chrome basi Mozilla Firefox or another browser
 
Nahisi wanaweza fanya kwanzia mwezi wa saba na kuendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…