Kwani deadline imepita.. even ikapita for now Endelea na shughuli zako shortlisted za utumishi Wala si za kuzisubiria namna hyo tena kazi kama hzo Applicants kibao... Hapo Expect kuanzia mwezi June au July

Kitukonkingine nimeliona ktk ajira portal leo na juz baada ya kufunga ile Kaz ya tra ukijaribu ku fungua upande ya my application haifunguki kbsa sijui kwann