Wanajf Naomba kwa wanaofahamu jinsi Wafanyakazi wanavyoajiriwa katika mashamba ya katani yaani Malipo na Kama wanaajiri wakati huu kwa uzoefu wa miaka iliyopita.
Itategemea unataka kaz gan mashambani humo ikitokea nafas zipo wanakuchukua malipo utaambiwa muhim kaonane na estate manager au bwana shamba wa estate husika
Itategemea unataka kaz gan mashambani humo ikitokea nafas zipo wanakuchukua malipo utaambiwa muhim kaonane na estate manager au bwana shamba wa estate husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.