Madkatari wa Hospitali ya wilaya ya Manyara wanadai fedha zaidi ya milioni 70 ikiwa ni malimbikizo ya fedha ya posho ya dharura. Watishia kugoma wasipolipwa.
Source: ITV habari
Madkatari wa Hospitali ya wilaya ya Manyara wanadai fedha zaidi ya milioni 70 ikiwa ni malimbikizo ya fedha ya posho ya dharura. Watishia kugoma wasipolipwa.
Source: ITV habari
Wakati wanaajiriwa, waliingia mkataba unaoonyesha wanatakiwa kufanya kazi masaa mangapi na endapo kutakuwa na kazi za ziada sheria zimeainisha walipwe kiasi gani tena kwa kazi zipi.Lakini suala la uchache ni kazi ya Afisa utumishi kujua kuwa mahitaji ya wateja na wahudumu inaendana? na serikali ndio mwajiri lakini sio wao.
kama hutaki kazi ...acha...hatutaki migomo ya isiyo na faida..watu wafe kisa upuuzi wenu...pumba vuzenu, tukija hosptal rushwa tu....madawa mnaiba....halafu mnataka kugoma...its too late mngeanza mapema