manyanyasodawasa
New Member
- Sep 7, 2022
- 1
- 1
Hoja ya kijinga!Usituchoshe... watu kibao wako kitaa wanatamani hiyo kazi unayoiona ina manyanyaso...kama vipi ipotezee ufanye mishe zingine
Ndugu. Yangu nchi hii huwezi kumshinda boss kwenye kesi,una mawili,uache kazi au uvumilie,Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania,
Dawasa ni Mamlaka ya majisafi na usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam, ikiwa na mikoa ya kihuduma mbalimbali likiwamo tawi letu la Ubungo. Tawi hili ofisi zake zipo Kimara matangini.
Katika tawi letu kumekuwa na manyanyaso sana, wafanyakazi tunaingia ofisini saa MOJA asubuhi na kutoka saa NNE usiku kinyume cha utaratibu, kufanya kazi weekend bila malipo yoyote tunayolipwa kwa kufanya kazi nje ya muda wa kazi, likizo tunanyimwa, tunatishiwa kufukuzwa kazi.
Viongozi wetu wa tawi hawaambiliki, hawashauriki! hatuna pa kuhemea. Kupitia waraka huu tunaomba jicho la tatu litazame unyanyaswaji huu unaofanywa na Meneja wa tawi na wasaidizi wake ukomeshwe mara moja. Haki na ustawi wa wafanyakazi ipatikane.
Hili siyo suala la kukosa maadili au nidhamu bali ni suala la kuheshimu haki za mfanyakazi! Mwanasheria mkuu wa serikali hahusiki katika utetezi bali ni suala la utendaji ndani ya taasisi!Ndugu. Yangu nchi hii huwezi kumshinda boss kwenye kesi,una mawili,uache kazi au uvumilie,
Hapo ni serikalini,ukimshitaki huyo boss wako,unakuwa umemshitaki mwanasheria mkuu wa serikali,maana ndie atakae Fanya utetezi!!!upo hapo!!sasa kazi kwako!!unasuka au unanyoa
Umekurupuka sanaUsituchoshe... watu kibao wako kitaa wanatamani hiyo kazi unayoiona ina manyanyaso...kama vipi ipotezee ufanye mishe zingine
Sawa...kwakuwa tu nimeandika mtizamo tofauti na wakoUmekurupuka sana