prince Ballack
Senior Member
- Mar 12, 2018
- 138
- 104
Ha ha ha ha ha......?Kingereza sasaaa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji9][emoji9]
Hapo ndiyo pagumu kwa upande wanguKingereza sasaaa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji9][emoji9]
Chepes sanaHa ha ha ha ha......?
Huelewi mkuu
Translate kwa kiswahili mkuu, wengine ni GT lakini sio wa lugha ya malkiaHa ha ha ha ha......?
Huelewi mkuu
Kingereza sasaaa.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji9][emoji9]
Translate kwa kiswahili mkuu, wengine ni GT lakini sio wa lugha ya malkia
Haya subiriTranslate kwa kiswahili mkuu, wengine ni GT lakini sio wa lugha ya malkia
Nakielewa tena vizuri mkuuNa usikute hata Yeye mwenyewe kinampiga chenga na labda alichojitahidi tu kufanya ni ' Kukopi ' kutoka mahala na ' Kutupestia ' humu kama kilivyo kisha mwendo mdundo mbele kwa mbele.
Ha ha ha ha........!Translate kwa kiswahili mkuu, wengine ni GT lakini sio wa lugha ya malkia
Maoni yako hayo mkuuWanaume tuna akili nyingi sana hasa pale tunapotaka kitu chetu mgegedo, Mwanamke hana uwezo wala ubavu wa kujua ya kuwa huyu mtu ananipenda kweli ama laa.
Kumbuka mapenzi ni kama imani tu yakumuabudu MUNGU ilihali hatujamuona hata siku moja, kwenye mapenzi una muamini mtu ambae hujui rohoni kwake anawaza nini kwa wakati huo, hujui moyoni kwake anapanga nini, huna uhakika na akiongeacho kama kinatoka moyoni ama anaongea tu ilimradi atimeze azma yake??
Kwenye mapenzi tuaminiane tu, lakini tusiwekeane 100% ya kuwa huyu unanipenda kwa dhati ama laa, na wala huwezi kumjua huyu mtu ni kweli ana nipenda kweli Kwa kuangalia hizo sababu ulizoziorozesha hapo juu mtu anaweza akatimiza hivyo vigezo akishapata papuchi ana lala mbele.
Ha ha ha ha.....!Thank you(hata kama sijaelewa ulichoandika)
Siku nyingine nitajitahidi ni andike kwa kiswahili, ila kwetu Kenyans kiswahili ni mawe (kigumu).Thank you(hata kama sijaelewa ulichoandika)
Jitahidi kwakweli utakua umesave ufahamu wanguSiku nyingine nitajitahidi ni andike kwa kiswahili, ila kwetu Kenyans kiswahili ni mawe (kigumu).
Sawa ila mahali nitakua nikikosea utanielewa na kunirekebisha [emoji12]Jitahidi kwakweli utakua umesave ufahamu wangu