Kudadadeki
Member
- Oct 7, 2010
- 70
- 7
Jana nilimtuma kijana akanunue LUKU ya Tsh. 12,000/= hapo maeneo ya Science.
Cha ajabu kaja na Unit 45 tu. Nilipochunguza, nikagundua units hizo chache zimesababishwa na mlundikano wa kodi nilizobebeshwa bila hatia.
Angalia mlolongo wa kodi hizo;
1. VAT 18%
2. EWURA 1%
3. REA (Rural Electrification Authourity) 3%
SUB TOTAL; 1,561.57
4. Municipal Services Tax Invoice 3,340.36
TOTAL 4,901.93
Najiuliza,
1. ni haki katika LUKU ya 12,000/= kupata LUKU ya 7,098/= (59%) ?
2. ni haki kulipia VAT ? (wakati nimefanya retail business ?)
3. ni haki kulipia EWURA wakati inapata rudhuku toka Serikali Kuu ?
4. ni haki kulipia REA wakati wao ni wafanyabiashara wanaosambaza umeme Vijijini ?
5. kodi chungu nzima ninazolipa katika Manispaa (kodi ya ardhi, kodi ya nyumba etc,etc) hazitoshi hadi waje nikabe koo kwenye umeme ?
Naomba Ushauri wenu Great Thinkers, tunafanyaje ?......
Tuwapeleke Mahakamani ? Kuna Wanasheria humu waliotayari kusaidia (Kenya, ningeshapata volunteers Lawyers 200)
Kiongozi nikupe pole kwa kuchelewa kuushtukia huwo wizi mapema!,kwani huo ni wizi mtupu tunaofanyiwa Raia wa Tanzania ndani ya Tanzania.....Ok let us try to close our Eyes and Hears and say....ok with their taxes......then let us ask ourselves "how do we benefit with all thoz crazy taxes??????" with caps NOTHING,NOTHING,NOTHING!.......4 sure something shuld be done to stop this...and i think this is very serious issue that is supposed to be discussed in very broadly ground,and its not politik matter comrade...Now its a CALL for all those patriots Tanzanian lawyers this is your chance to show your patriotism and royality to your poor exploited fellows Tanzanian bana wake up Buddies.Jana nilimtuma kijana akanunue LUKU ya Tsh. 12,000/= hapo maeneo ya Science.