Manukato ya sabuni za maji

prooo

Member
Joined
Jun 1, 2017
Posts
39
Reaction score
11
Jamani mi nataka kuanza biashara ya kuuza na kitengeneza sabuni za maji,npo mbeya natafuta sana npate manukato aina tofauti kama ndizi ,chungwa na nk,tofaut na rose ambayo ndo yamezoeleka sasa kwa uku mbeya napatashda jins kupata hzo aina tofaut msaada kwa MTU anaye jua
 
Tafuta mtaji uuze deodorant, watu wa mikoa ya mbeya na Iringa wananuka sana vikwapa
 
Karibu sisi tunauza vifungashio na material ya ujasiliamali tupo dar mikoani pia tunatuma, manukato yote tunayo na kwa mls 200 ni Tshs.8000/=@0629683560
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…