kama una loads say fan ya 2A..lighting ya 3A..kettle ya 5A..makes a total ya 10A iyo ni amperage au siyo..ampacity ya contactor yako iwe above 10A..labda 15A ivi..kila contactor ina label kwa pembeni kuonesha rating yake...umesema ni electric start ya aina gani 2wire au 3wire..ya 2 wire ni ile yenye on/off toggle switch..yaani unawasha na kuzima tu no other complication..ya 3wire una modes 3 yaani off,start na run mode....kama ni ya 2wire..then connection ni straight forward..ila kama ni ya 3wire..unabadili kua 2wire kwanza...