A Abunuas JF-Expert Member Joined Apr 8, 2011 Posts 8,812 Reaction score 1,824 Mar 21, 2016 #41 Ruttashobolwa said: Unafikiri uchochezi mnao ufanya haunekani? kwanini msikae kimya kama mmejitoa nini kina wafanya muendelee kutoa matamko ya kuwatisha watu? Click to expand... hivi kwanini nembo ya polisi isiwe jembe na nyundo ? mmeachiwa mshinde kwa 100% bado mnanyanyasa watu , mnataka nini ?
Ruttashobolwa said: Unafikiri uchochezi mnao ufanya haunekani? kwanini msikae kimya kama mmejitoa nini kina wafanya muendelee kutoa matamko ya kuwatisha watu? Click to expand... hivi kwanini nembo ya polisi isiwe jembe na nyundo ? mmeachiwa mshinde kwa 100% bado mnanyanyasa watu , mnataka nini ?
S Sir Kite 2 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 552 Reaction score 314 Mar 21, 2016 #42 Kila mtu apewe haki yake,kadri inavyostahili,ukileta uhuni pata kipigo,then kalalamike kwa wazungu, Hakuna haki bila wajibu,na nadhani nyie mwajiona bora kuliko watu wengine,
Kila mtu apewe haki yake,kadri inavyostahili,ukileta uhuni pata kipigo,then kalalamike kwa wazungu, Hakuna haki bila wajibu,na nadhani nyie mwajiona bora kuliko watu wengine,
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 94,104 Reaction score 132,582 Mar 21, 2016 #43 Abunuas said: hivi kwanini nembo ya polisi isiwe jembe na nyundo ? mmeachiwa mshinde kwa 100% bado mnanyanyasa watu , mnataka nini ? Click to expand... Popobawa wapemb@ washawaachilia...inasemekana maskari wanarudi bars wana harish@ hatariii.... Ovaa
Abunuas said: hivi kwanini nembo ya polisi isiwe jembe na nyundo ? mmeachiwa mshinde kwa 100% bado mnanyanyasa watu , mnataka nini ? Click to expand... Popobawa wapemb@ washawaachilia...inasemekana maskari wanarudi bars wana harish@ hatariii.... Ovaa