Endelea tu kusafisha kiwanja 😂😂😂😂Mnatutenga sana sie maskini wa 2 bedroom house. Kwa nini lakiin?
Ndio maana nataka kukiuza mana sioni dalili za kujenga. Boma mpaka kupau wanakwambi mil 20 sii balaa hilo.Endelea tu kusafisha kiwanja 😂😂😂😂
Mil 20 si unaitoa kidogo kidogo, inafika tu bila hata we mwenyewe kujua.....Ndio maana nataka kukiuza mana sioni dalili za kujenga. Boma mpaka kupau wanakwambi mil 20 sii balaa hilo.
hapo hujaanza vifaa vya english, gypsum board, wiring, skimming, tiles, bathtub, ac shower mixer, marble kitchen sink, towel hanger, led bathroom mirror etc....
Sii bora nitoe kidoko kidogo kwa wewe kila wikend laki mbili unanisusia mbususuMil 20 si unaitoa kidogo kidogo, inafika tu bila hata we mwenyewe kujua.....
Safi kabisa!+255624004640