Duuu!!!!! mimisa,mimi nipo single!!!
ndo hivo..tumejitahidi kadri tulivoweza..but imeshindikana..
copy: Baba V ,cuzin @snowhite,my dia Rich woman,ma dia Zion Daughter na wote wahusikao umu cc
pole jamani mimisa.. najua umevumilia mengi sana toka kwa manoah.. ucikonde.. utampata mwingine zaid ya huyo.. ila hawa wafuatao kaa nao kando.. Arushaone.. Baba V (japo ni mwenyekiti).. saudari.. Safari_ni_Safari.. Erickb52 na Bishanga.. mwanaume pekee ambae ninakushauri akija umkubali ni mpwa wangu Elli.. hana kashfa wala tuhuma.. halafu sio muhuni..

Bishanga and me for life