manoah BANNED by moderator

Status
Not open for further replies.
Dah! dogo alikua na juhudi za kuweka hali ya hewa vizuri ila kumbe workdone = equat to Banned.

MzunguMndali ni wa kutengwa amekua na mambo ya kipuuzi sana na hata radha ya CC anaipunguza na kusababisha baadhi ya member kulichukua hili jukwaa kutokana na ujinga ulio zidi.
 
Last edited by a moderator:
haya ya kweli jamani,,,,,,, manoah kafanya nn tena jamani?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…