Naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao..
Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata kitu apa jangwani,.
Je manji nawe unataka tukuweke kundi la walagai kama rage hapana staki ufike huko.
Sioni cha maana ulichokifanya toka ufike yanga,. Zaidi ya ahadi za kila siku,. Tumechoka na ahadi za kwenye soka tunataka vitendo ,. Tunataka uwanja kama hela imepungua twambie mashabiki tujichange chochote kwajili ya yanga,.
Utakua umetumwa wewe si bure!Naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao..
Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata kitu apa jangwani,.
Je manji nawe unataka tukuweke kundi la walagai kama rage hapana staki ufike huko.
Sioni cha maana ulichokifanya toka ufike yanga,. Zaidi ya ahadi za kila siku,. Tumechoka na ahadi za kwenye soka tunataka vitendo ,. Tunataka uwanja kama hela imepungua twambie mashabiki tujichange chochote kwajili ya yanga,.
Wanachama hai wa Young African wanaelewa kwa nini mpaka leo bado hawajaanza ujenzi,alieleza na kueleweka vizuri na wanachama wake ya kuwa huwezi kuanza kufanya kitu chochote kama timu inafanya vibaya au matokeo si mazuri kwenye ligi ambacho kwa Tanzania hiyo ni kitu ambacho kinaleta mtafaruku kwenye vilabu vyetu vya mpira wa miguu tofauti na klabu za ulaya arsenal wamekaa miaka nane bila kombe kisa uwanja na sasa wanaponya makovu yao kwa kuanza kununua wachezaji wanaopaswa kuchezea uwanja wao mkubwa na mzuri sasa hapa kipaumbele kwa sisi watz ni matokeo mazuri huku tunaandaa kampuni ya Young African ambayo itagawia wanachama share na kuifanya Yanga kuwa sio Tegemezi tenaJina lako limekaa kinyarwanda nyarwanda....
Ila hawezi Jenga uwanja kwenye eneo lenye mafuriko kila kukicha... na pia kumbuka eneo lile lilipigwa marufuku kujengwa chochote. mwanzoni alianza kujenga mafurikko yakaja so ikawa kamakachezea pesa tu... na kwa sasa Kujenga uwanja mpya ni kama Ndoto Sembe ni ngumu kusafirisha uwanja wa Ndege wa JK.... Mwaykembe anamtafuta kwa Udi na Uvumba....
Wanachama hai wa Young African wanaelewa kwa nini mpaka leo bado hawajaanza ujenzi,alieleza na kueleweka vizuri na wanachama wake ya kuwa huwezi kuanza kufanya kitu chochote kama timu inafanya vibaya au matokeo si mazuri kwenye ligi ambacho kwa Tanzania hiyo ni kitu ambacho kinaleta mtafaruku kwenye vilabu vyetu vya mpira wa miguu tofauti na klabu za ulaya arsenal wamekaa miaka nane bila kombe kisa uwanja na sasa wanaponya makovu yao kwa kuanza kununua wachezaji wanaopaswa kuchezea uwanja wao mkubwa na mzuri sasa hapa kipaumbele kwa sisi watz ni matokeo mazuri huku tunaandaa kampuni ya Young African ambayo itagawia wanachama share na kuifanya Yanga kuwa sio Tegemezi tena
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Uwanja ujengwe hapo?
Jina lako limekaa kinyarwanda nyarwanda....
Ila hawezi Jenga uwanja kwenye eneo lenye mafuriko kila kukicha... na pia kumbuka eneo lile lilipigwa marufuku kujengwa chochote. mwanzoni alianza kujenga mafurikko yakaja so ikawa kamakachezea pesa tu... na kwa sasa Kujenga uwanja mpya ni kama Ndoto Sembe ni ngumu kusafirisha uwanja wa Ndege wa JK.... Mwaykembe anamtafuta kwa Udi na Uvumba....
Utakua umetumwa wewe si bure!
Kuwa na hoja si hoja, namna ya kuwasilisha hoja ndio hoja
nyi mnataka uwanja wakati mhasibu wa kihindi amumtaki, hahahahaha, mnataka kula lakini hamtaki kuliwa.....naanza kuamini kua hawa viongozi wanaoziongoza yanga na simba wote wanaingia kwajili ya maslahi yao..
Manji ulituahidi uwanja wa yanga utanza jengwa mwezi wa 6 mwaka huu,. Hadi sasa sio hata kitu apa jangwani,.
Je manji nawe unataka tukuweke kundi la walagai kama rage hapana staki ufike huko.
Sioni cha maana ulichokifanya toka ufike yanga,. Zaidi ya ahadi za kila siku,. Tumechoka na ahadi za kwenye soka tunataka vitendo ,. Tunataka uwanja kama hela imepungua twambie mashabiki tujichange chochote kwajili ya yanga,.
nyi mnataka uwanja wakati mhasibu wa kihindi amumtaki, hahahahaha, mnataka kula lakini hamtaki kuliwa.....
akilimali anajua mhindi hajui kiswahili mizinga itakuwa inabuma mpaka mkalimani...huyo ni akilimali asiemtala, sio sisi tunaojitambua
Uwanja ujengwe hapo?
akilimali anajua mhindi hajui kiswahili mizinga itakuwa inabuma mpaka mkalimani...
Utajengwa tu kijana,tuliza boli....