Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,891
- 31,675
Acha kujiona mjuaji= hasara
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
huyo magu. Fool hawanyanyasi matajiri tu mpaka masikini anawanyanyasa.na mimi sitamuunga mkono na kumuheshimu mtu yeyote anayewanyanyasa wale waliowanyanyasa wanyonge. kwani akiwamaliza matajiri atawaanza kunyanyasa wanyonge.
Atakurekebisha tena.asante but kufika kunikosoa naamini ujumbe uliupata na diyo kusudio langu. kama usingenielewa usingenisahihisha. asante kifimbo cheza kwa kazi yako.
daaa kiswahili shida, English usiseme.Atakurekebisha tena.
Diyo= Ndiyo
Unapoita watu mafala hujioni wewe ni juha kabisa,hizo huduma unazosema za madawa umeishaenda hosp ukazikuta au kelele na uzwazwa,kigwangwala mkubwa weweFala Sana wewe, wakati anaipiga serikali pesa, huduma kwa Wananchi zinakosekana, Mfano hospital, Baadhi wanakufa kwa kukosa dawa, alikua anachekelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hizo huduma zinapatikana?Fala Sana wewe, wakati anaipiga serikali pesa, huduma kwa Wananchi zinakosekana, Mfano hospital, Baadhi wanakufa kwa kukosa dawa, alikua anachekelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi wewe na huyo Faiza Foxy mnajua matumizi ya Equal Sign?Atakurekebisha tena.
Diyo= Ndiyo
I can't believe dude! What's wrong with all the torture to this guy?He look like Ben Affleck..😉
Wale walioambiwa siongei na mbwaWanyonge ni kina nani?
So baada ya kufungwa, umepata dawa??Fala Sana wewe, wakati anaipiga serikali pesa, huduma kwa Wananchi zinakosekana, Mfano hospital, Baadhi wanakufa kwa kukosa dawa, alikua anachekelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee yaani hauamini kama huyu ndo alikuwa anaifadhili CCM.
= hasara
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Etii kwamba huyu jamaa ndo alisema kuwa haongei na mbwa bali anaongea na mwenye mbwa aseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni nomaaaaaaa
Acha kujiona mjuaji
Kama hasala=hasara basi inamaanisha aliye andika hasara ni sawa na aliye andika hasala kwa hiyo wewe hapo ndio umeonekana mjinga kuliko huyo uliyemuita mjinga.
Mwambieni Mkuu wenu Mwosha huoshwa. It is not the end of the world yet for Manji. Keep it a little bit longer .Freedom will always come. May Allah (SWT) bless UHachomoki as ni mambo ya kisasi kesi itapigwa tarehe tu mpaka umalize uchaguzi 2020 ndo kesi itaenda na atatoka.
Sababu kesi yake iko wazi kukamatwa na vitambaa vya sare za jeshi...inatakiwa ianze tu waletwe mashahidi lkn DPP atachelewesha makusudi
kumkomoa kwani mkuu anafurahi mambo kama haya.
Tuombee tu uzima na wabaya wake wapate ubinadamu
Sent using Jamii Forums mobile app