Manispaa za jiji kuogopa Buguruni

chapachapa

Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
93
Reaction score
21
Halmashauri ya Jiji la DSM limekuwa na bomoa bomoa na hamisha hamisha ya wafanya biashara wanaofanya biashara zao katika maeneo yasio ruhusiwa, biashara zinazoandamwa sana ni wamachinga, mama ntilie pia wiki hii wamefanya zoezi la bomoa bomoa katika maeneo mbalimbali ya barabara ya mandela ikiwa ni pamoja na kuzuia wafanya biashara wanaoweka bidhaa zao barabarani na waliojenga ndani ya hifadhi ya barabara hiyo.... lakini ukiwa maeneo ya buguruni yote bidhaa mbali mbali zimewekwa nje na hakuna wa kuwabughudhi... hii inatia shaka kwamba kuna mkono wa wakubwa aidha Manispaa ya Jiji na Manispaa zake wanawaogopa Buguruni
 
Pia angalia zile mbao pale buguruni zimewekwa barabarani na ndani ya hifadhi lakini hakuna mtu wa kuwagusa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…