Kwani wewe mkuu ume sikia kapangwa wapi?
Kwani jamaa alisaliti sisiem?
Namfahamu vizuri na nafahamu kilichotokea oct 2015,
Usiongee tu kiushabiki
Yeye na Mwenyekt wa CCM Mkoa walichakachua kura za Mwakalebela wakmpa Msigwa
Mabaya yake ni kushindwa kuchakachua matokeo, fuatilia halmashauri zote ambako upinzani walishinda wakurugenzi wameondolewa; haijalishi walikuwa na uwezo wa kuwaletea maendeleo wananchi au la!Ila ungeandika na mengine uliyofanya au nduguyo aliyofanya basi..
Gari ya serikali na nani alilipia mafuta? maana pesa ya harambee alisema watumbue kwa mengine...
Pia kwa jinsi ulivyoandika wewe hujaona mazuri na mabaya yake bali wewe unasikia tu...hapo sasa
Sasa hivi hana kazi?
Ah hahahahaaa...usiyoyajua ni kama usiku wa kiza,Yeye na Mwenyekt wa CCM Mkoa walichakachua kura za Mwakalebela wakmpa Msigwa
Atatoaje gari la Serikali na kuwapa Urunga Girls km gari katoa mfukoni mwakeSijajua jina lake wala utendaji wake lakini kwanini huyu mchapa kazi kaondolewa?
Anasema watanzania wamuombee,Mungu yupi humsikia asiye tenda haki?CCM ilishindwa kusoma alama za nyakati na kuweka mgombea asiye sahihi. Swali la kujiuliza ni je, hadi madiwani Sawa na ***** waliiba kura za CCM? Uchungu wa kukataliwa na wana - Iringa wanamuonea/kumchongea aliyemwagikiwa na damu (CCM ilichinjwa nyang'anyang'a Iringa) Acheni kuonea watumishi kwa kuwaundia zengwe.
Ndahii,ulikwi mnyalukolo?Tivanya boma tulibaha
si kada tu wa chama chetu,si unajua makada wanavyopenda kupiga hela?Huyu wa sasa mmeishampima uwezo wake?
Ve wisaka vakusindike kwiSupilo ! Kilomolomo icho?Tuvipile hilo, mwa ugimbi mfwandufu, mgaya luhala nda.
aliibaje kumsaidia mpinzani?Ivi ccm unaweza kuiibia?Wenyewe ndiyo wezi wenyewe.Ni vigumu kumuibia mwiziYeye na Mwenyekt wa CCM Mkoa walichakachua kura za Mwakalebela wakmpa Msigwa
si kada tu wa chama chetu,si unajua makada wanavyopenda kupiga hela?
Sasa mwugimbi amemwachaje,hana hata hofu ya Mungu?Ah hahahahaaa...usiyoyajua ni kama usiku wa kiza,
Nlikuwepo kwenye chumba ambacho alilazimishwa arudie kuhesabu kuraaaa,
Yaliyotokea mle ni makubwa, kuraaaa zilipitishiwa kwenye dari...
Msigwaaaaa angekubali leo angeusikia kwenye bomba
burungutu aliyo mpa mfiti hakupiga yale?Mbona Magufuli hapigi na ni kada
Ma
burungutu aliyo mpa mfiti hakupiga yale?
huenda alipiga huko huko kubomaAlipiga wapi?