Manispaa Iringa wamlilia Mkurugenzi wao, wasema tumefikia mchapakazi anaondolewa kupisha makada

Ukiona bosi hasa kwenye utumishi wa umma anasifiwa na watumishi walio chini yake basi ujue huyo boss hajui kazi yake ipasavyo. Alikuwa anapitisha vitu vya hovyo. Bora ameondolewa.
 
ume pata
wapi habari taarifa hizo?au ndiyo nyie ndiyo makada?
 
Ukipita katika mitaa ya manispaa ya Iringa lazima utakutana na habari hii. Watu wanashangaa kilichotokea maana hata ushindi wa usafi kitaifa ilikuwa kazi ya mkurugenzi huyu akishirikianana baraza lake la madiwani.

Nimewashuhudia watu wakisema mtu huyu alikuwa habagui mtu anaweza akamsikiliza mtu hamjui na ofisini kwake hakuna ulazima wa kutoa taarifa ili kuingia, mfano shule ya Iringa Gilrs ilkuwa inahitaji gari wakaitisha harambee wakapata kiasi fulani cha hela walipo enda kwake akawambia hela hizo wafanyie kazi nyingine na yeye akawapa gari na dereva wa manispaa.

Watumishi wote ukiwauluza utasikia mtumishi huyu alikuja kuibadilisha manispaa kweli.

Sasa kumuondoa hivihivi sijui kama ndio tunakoenda. Inakatisha tamaa kwa wachapakazi kwakweli
KabisaI hopekuwauchunguzi wakina ulifanyika.Narudia tena Nazi penda kazi zamuhushimiwamlakini teuzi zizingatie Ujuzi uzoefu, uchapakazi na uadilifu. Kama kulikuwa na mapungufu say ya Uadilifu then angeweka taratibu ya kudhubiti. suala linguine la kusema siwezi kufanya kazi na wazee nadhani it is not fair. Kwani wana ujuzi na kuna ambao walilitumikia taofa hili kwa uadilifu mkuu. Leo unakuja kumtoa eti Mzee wakati umri wa kusataafu ni mika 60. Kwa hili Rais uzuri unapitia mitandao litakuja kukuangusha. Na kama Wakurugenzi wameteuliwa eti wataenda kupata uzoefu hukohuko Kaziani ni kosa kubwa sana, kazi hiyo si ya kujifunzia ukiwa kazini. Nina amini kuna waadilifu wachapakazi waliokuwepo \halmashauri. Wamefanya kazi kwa shida kwa kujitolea leo hii anakuja mtu asiye na ujuzi itawakatisha ytamaa watumishi wa Umma wengi waliovumilia na kufanya kazi kwa bidii. Mh. Rais angalia hili kabla haijawa too late!
 
Ukipita katika mitaa ya manispaa ya Iringa lazima utakutana na habari hii. Watu wanashangaa kilichotokea maana hata ushindi wa usafi kitaifa ilikuwa kazi ya mkurugenzi huyu akishirikianana baraza lake la madiwani.

Nimewashuhudia watu wakisema mtu huyu alikuwa habagui mtu anaweza akamsikiliza mtu hamjui na ofisini kwake hakuna ulazima wa kutoa taarifa ili kuingia, mfano shule ya Iringa Gilrs ilkuwa inahitaji gari wakaitisha harambee wakapata kiasi fulani cha hela walipo enda kwake akawambia hela hizo wafanyie kazi nyingine na yeye akawapa gari na dereva wa manispaa.

Watumishi wote ukiwauluza utasikia mtumishi huyu alikuja kuibadilisha manispaa kweli.

Sasa kumuondoa hivihivi sijui kama ndio tunakoenda. Inakatisha tamaa kwa wachapakazi kwakweli
Wapo wengi wazuri tu zaidi yake acha promo
 
nene si mninyinetu nda, wakwamisi si twidobokela munu ye aimbite ila ng'ani sake ipiga nda munu mugaya mutwe! be neke ndifwe hela, kwisulipilo wikala vanu, twogopage hile kambi tu vana
ino umnya mkangafu dzisumuli
 
bora hata aliyeondolewa

Yaani kutoa Mahindi Isimani kuleta Manispaa lazima ukaombe kibali kwa Mkurugenzi? ujinga gani huu harafu mnasema alikua jembe. Hajui kua watu wanaishi iringa mjini wanalimia Isimani? Aende tu
 
Hii ni research imefanyika, au ni baadhi ya watu wako wa kari u ndi wamekwambia haya.

Back
Top Bottom