Kwani nimeiba? nielekeze ningezipeleka wapi,mbona nawadai malimbikizo yangu mengine pesa nyingi tu.Ngoja waungwana waje watanishauli.We mwalimu acha ukilaza ulivyokula pesa ya watu ukaona umepaata ukabadili na laini ya simu,haya sasa utakula chumvi mwezi huu!!hata sikuonei huruma ndo washakata chaoo!! Ha ha poleee!!!!
Ungezirudisha zilikotoka, pesa tamu ha ha haKwani nimeiba? nielekeze ningezipeleka wapi,mbona nawadai malimbikizo yangu mengine pesa nyingi tu.Ngoja waungwana waje watanishauli.
Nashukuru kwa ushauri.Nimeenda manispa ofice ya mshahara,wanasema mimi ni mtoro(uongo) ! wakanambia niende office ya elimu,kule wanasema eti waliniita tuongee jinsi ya kuludisha hizo pesa sikuja.wew ukiwa kama mfanyakazi, unategemea mshahara ili ukidhi mahitaji yako ikiwemo naul ya kwenda kazini, wew nenda kwa afisa utumishi mueleze kuwa hujapata mshahara, akieleza juu ya hiyo hela mwambie ulijua umelipwa malimbikizo hv ukatumia, lakin komaa nao na mshirikishe mkuu wa shule yako, utasaidiwa.
habari zenu wana jf,mimi ni mwl wa manispaa ya kinondoni.Miezi miwili iliyopita manispaa waliniingizia pesa ya likizo ,kwa bahati nzuri au mbaya walinizidishia pesa.Baada ya wk 1 nikapigiwa sm na watu wa manispaa kunitaarifu walikosea wakaniingizia pesa ya mtu mwingine! Niliwaambia ngoja niende bank wanipe bank statement ndo niwasiliane nao.Toka hapo sikufanya nao mawasiliano tena! Sasa leo wemzangu wote tunaofanya nao kazi wameshapata mishahara yao na wote mishahara inapitia NMB.
Wandugu nipo nawaza,isiwe ndo wamesha kata juu kwa juu.Je, ikiwa ndo wamekata pesa yao nifanye nini?
Mshahara wangu ndo nautegemea kutunza familia.NAOMBENI MNISHAULI NINI CHA KUFANYA.
Samahani kwa muandiko mbaya.