Manispa ya Morogoro yazuia wafanyakazi kukopa benki

Kifuu

Senior Member
Jan 29, 2017
150
91
Baadhi ya wafanyakazi wa manispaa ya Morogoro juzi niliwasika wakiwa wametoka kazini wakilalamika uongozi wa manispaa kutowaruhusiwi kukopa bank

Lakini wakiuliza wafanyakazi wa bank wanadai Manispaa ndio wamezuia kukopesha wafanyakazi.

Embu viongozi wa manispaa acheni tabia hiyo
 
Back
Top Bottom