Manila, Philipines: Rais Rodrigo Duterte atishia kuwafukuza Wanadiplomasia wa Umoja wa Ulaya

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
2,038
3,931
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino siku ya alhamis ametishia kuwafukuza mabalozi wanaowakilisha umoja wa nchi za Ulaya, na kupendekeza kuwa angeweza kuwapa masaa 24 ili kuondoka nchini mwake.

"Mnafikiri sisi ni kundi la wajinga" alisema rais Duterte kwenye hotoba yake iliyojaa viapo aliyoitoa akiwa ikulu. "Kwa sababu sisi tunaweza kukata mkondo wa kidiplomasia kesho. Mnaweza kuondoka ndani ya masaa 24. Ninyi nyote"

Hotuba yake imeoneka kuwa ni majibu ya shutuma za hivi karibuni kuhusu vita ya madawa ya kulevya nchini humo, ambapo maelfu ya watu wameuliwa na polisi.

Mkurugenzi wa Human Right Watch alipendekeza kuwa Ufilipino inatakiwa iondolewe kwenye umoja wa juu wa haki za binadamu. Kundi la watu ikiwa ni pamoja na wabunge wa Ulaya walitoa taarifa baaada ya kutembelea nchi hiyo wiki iliyopitan na kupendekeza kuwa umoja wa Ulaya unaweza kukaza masharti yake ya kibiashara na Ufilipino kwa sababu za haki za binadamu

Pia Bwana Duterte amesema kama biashara na nchi za Ulaya zitaathirika basi nchi hiyo [Ufilipino] itaimarisha biashara na nchi za China na Urusi

Amesema kama rais wa nchi hiyo yeye pekee ndiye anaye thibiti sera za kigeni za nchi hiyo na kwamba anaweza kukatisha uhusiano na nchi yoyote muda wowote
================================================================================

President Rodrigo Duterte of the Philippines threated on Thursday to expel the ambassadors representing the European Union, suggesting that he would give them 24 hours to leave his country.

“You think that we are a bunch of morons here,” Mr. Duterte said in a expletive-laden speech at the presidential palace. “Because we can have the diplomatic channel cut tomorrow. You leave my country in 24 hours. All. All of you.”

His remarks appeared to be a reaction to recent criticism of the country’s war on drugs, in which thousands of people have been killed by the police.

A director of Human Rights Watch suggested that the Philippines should be removed from the United Nations’ top human rights body. A group including European lawmakers issued a statement after a visit to the country last week suggesting that the European Union might tighten its terms of trade with the Philippines for human rights reasons.

The European Union said in a statement issued by its delegation in Manila that the lawmakers’ visit had been a private trip organized by the Progressive Alliance — a group that is critical of the Duterte government — not an official mission.

“The statements made by the Progressive Alliance during its visit to the Philippines were made solely on behalf of the Progressive Alliance and do not represent the position of the European Union,” the statement said.

Mr. Duterte is known for off-the-cuff speechmaking, and it was not immediately clear on Thursday if his threats were serious or simply bluster.

He said that, as president, he alone controlled the nation’s foreign policy, and that he could cut ties with any country at any time.

“The conduct of external affairs of this country is not in Congress. It’s not in the Supreme Court. It is the presidency in the great separation of powers,” he said. “It is solely the privilege of the executive department.”

The European Union said its relationship with the Philippines “continues to operate and function normally.”

Robespierre Bolivar, a spokesman for the Philippine Foreign Affairs Department, said that as of Thursday evening, the department “has not received any instructions on the matter.”

The president’s comments came just weeks before the country is set to host a meeting of the Association of Southeast Asian Nations attended by several world leaders, including President Trump.

The Philippines is also currently negotiating its trade agreement with the European Union. The country now receives preferential treatment, allowing more than 6,200 products to enter the bloc duty free.

Mr. Duterte said that if trade with Europe were affected, the Philippines would increase trade with China and Russia.

Richard Javad Heydarian, a professor of political science at De La Salle University in Manila, said Mr. Duterte’s tirade was a “knee-jerk reaction rather than an actual policy.”

“Relations are tense, but far from broken,” Professor Heydarian said.

Ernesto Abella, a spokesman for the president, said in a statement that the members of the Progressive Alliance mission had falsely represented themselves as acting on behalf of the European Union.

He added that Mr. Duterte’s remarks should be understood in the context of the president resisting “undue interference in our domestic affairs.”

Thursday’s speech came one day after Mr. Duterte said he would strip the national police of its lead role in the war on drugs. That announcement followed a recent poll that showed Mr. Duterte’s popularity had declined after the recent deaths of three teenagers.
 
Naona jamaa vyuma vimeanza kukaza. Home kwake raia washamchoka wanafanya maandamano. Anajifanya anapigana na madawa ya kulevya huku uchumi ukiingia shimoni.
 
Mungu alikuwa na akili sana kuwepo kwa kifo maana mngempata mtu kama huyu anawaongoza milele ingekuwa shida sana, lakini walikuwepo kina Hitler, Musolini na wengine sasa hizi washakuwa nyama za udongo
 
Killing own people becoming domestic affairs,shame on him.

Huyu raisi anasahau EU wakiamua kumwekea vikwazo vya ajira kwa wafilipino wanaofanya Ulaya atasalim amri mara mmoja.
 
HABARI,
Naona Duterte amejikataa kabisa hajui marekani na umoja wa ulaya wanaweza hata kuwaambia wachina nao wakate mahusiano ya biashara na yeye.China hivi majuzi aliambiwa kuacha kununua chuma na makaa ya make kutoka north korea na kakubali kwani zaidi ya robo tatu ya bidhaa za china soko lake liko marekani na ulaya hawezi kuwaacha kwa kushika Duterte.

LUMUMBA
 
Yaani watu waliozoea misaada utawaona tu wanadhani uphilipino kama Africa
Uphillipino masikini sana tu mkuu watu maskini ni wengi wanaishi kwenye slums.
Ukitaka kujua kuwa huyo raisi hana nia ya dhati kabisa ya kupigana na wauza dawa za kulevya, fuatilia kesi ya dawa za kulevya inayomhusisha mwanae ambaye naye ni gavana
 
Wala hapigani na madawa ya kulevya ila anawaua wapinzani kwa gia ya dawa za kulevya, mshenzi sana yule
We jamaa ni muongo!!!kwahiyo hata mwanae anayechunguzwa kwa sasa ni mpinzani wake? Raia zaidi ya 2000 wameuawa je na hao ni wapinzani wake?
NB;usiropoke.
 
Kama unafuatilia ishu hiyo kwa mwanae alisema "endapo uchunguzi utamkuta na hatia", kumbuka wengine hawakupewa hata nafasi ya kuchunguzwa ila mwanae amepewa nafasi hiyo! Ni sawa kama viongozi wengine wa kiafrika anakuwa mkali kwa ishu flani na kuwahenyesha wananchi ila anapopatikana mtu wake mwenye kashfa kama hiyo atatafuta namna ya kumstiri, tunasubiri kusikia mwanae akinyongwa, nitaomba unitag habari hiyo pindi ikifika ili nithibitishe kuwa kweli mimi ni mwongo na mropokaji,

nb mbona umetumia maneno makali kwangu wakati hii ni ishu ya Philippines na sio Tanzania?!!
 
Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino siku ya alhamis ametishia kuwafukuza mabalozi wanaowakilisha umoja wa nchi za Ulaya, na kupendekeza kuwa angeweza kuwapa masaa 24 ili kuondoka nchini mwake.

"Mnafikiri sisi ni kundi la wajinga" alisema rais Duterte kwenye hotoba yake iliyojaa viapo aliyoitoa akiwa ikulu. "Kwa sababu sisi tunaweza kukata mkondo wa kidiplomasia kesho. Mnaweza kuondoka ndani ya masaa 24. Ninyi nyote"

Hotuba yake imeoneka kuwa ni majibu ya shutuma za hivi karibuni kuhusu vita ya madawa ya kulevya nchini humo, ambapo maelfu ya watu wameuliwa na polisi.

Mkurugenzi wa Human Right Watch alipendekeza kuwa Ufilipino inatakiwa iondolewe kwenye umoja wa juu wa haki za binadamu. Kundi la watu ikiwa ni pamoja na wabunge wa Ulaya walitoa taarifa baaada ya kutembelea nchi hiyo wiki iliyopitan na kupendekeza kuwa umoja wa Ulaya unaweza kukaza masharti yake ya kibiashara na Ufilipino kwa sababu za haki za binadamu

Pia Bwana Duterte amesema kama biashara na nchi za Ulaya zitaathirika basi nchi hiyo [Ufilipino] itaimarisha biashara na nchi za China na Urusi

Amesema kama rais wa nchi hiyo yeye pekee ndiye anaye thibiti sera za kigeni za nchi hiyo na kwamba anaweza kukatisha uhusiano na nchi yoyote muda wowote
================================================================================

President Rodrigo Duterte of the Philippines threated on Thursday to expel the ambassadors representing the European Union, suggesting that he would give them 24 hours to leave his country.

“You think that we are a bunch of morons here,” Mr. Duterte said in a expletive-laden speech at the presidential palace. “Because we can have the diplomatic channel cut tomorrow. You leave my country in 24 hours. All. All of you.”

His remarks appeared to be a reaction to recent criticism of the country’s war on drugs, in which thousands of people have been killed by the police.

A director of Human Rights Watch suggested that the Philippines should be removed from the United Nations’ top human rights body. A group including European lawmakers issued a statement after a visit to the country last week suggesting that the European Union might tighten its terms of trade with the Philippines for human rights reasons.

The European Union said in a statement issued by its delegation in Manila that the lawmakers’ visit had been a private trip organized by the Progressive Alliance — a group that is critical of the Duterte government — not an official mission.

“The statements made by the Progressive Alliance during its visit to the Philippines were made solely on behalf of the Progressive Alliance and do not represent the position of the European Union,” the statement said.

Mr. Duterte is known for off-the-cuff speechmaking, and it was not immediately clear on Thursday if his threats were serious or simply bluster.

He said that, as president, he alone controlled the nation’s foreign policy, and that he could cut ties with any country at any time.

“The conduct of external affairs of this country is not in Congress. It’s not in the Supreme Court. It is the presidency in the great separation of powers,” he said. “It is solely the privilege of the executive department.”

The European Union said its relationship with the Philippines “continues to operate and function normally.”

Robespierre Bolivar, a spokesman for the Philippine Foreign Affairs Department, said that as of Thursday evening, the department “has not received any instructions on the matter.”

The president’s comments came just weeks before the country is set to host a meeting of the Association of Southeast Asian Nations attended by several world leaders, including President Trump.

The Philippines is also currently negotiating its trade agreement with the European Union. The country now receives preferential treatment, allowing more than 6,200 products to enter the bloc duty free.

Mr. Duterte said that if trade with Europe were affected, the Philippines would increase trade with China and Russia.

Richard Javad Heydarian, a professor of political science at De La Salle University in Manila, said Mr. Duterte’s tirade was a “knee-jerk reaction rather than an actual policy.”

“Relations are tense, but far from broken,” Professor Heydarian said.

Ernesto Abella, a spokesman for the president, said in a statement that the members of the Progressive Alliance mission had falsely represented themselves as acting on behalf of the European Union.

He added that Mr. Duterte’s remarks should be understood in the context of the president resisting “undue interference in our domestic affairs.”

Thursday’s speech came one day after Mr. Duterte said he would strip the national police of its lead role in the war on drugs. That announcement followed a recent poll that showed Mr. Duterte’s popularity had declined after the recent deaths of three teenagers.
Hawa ndo walewale kama wakwetu ni kupayuka tu vita vya madawa ya kulevya na wanasiasa wasiompenda wanafyekwa humo humo..
 
Back
Top Bottom