Manii nyeusi sijawahi sikia, lakini inawezekana ana bleeding ya ndani kwa ndani. Kamata mkono, peleka kwa urologist na hakikisha hubandui kalio hapo
(food for thought. Kama katembea na mke wa mtu wamemloga aisee.lol)
My God , kwanza mama unaonekana mwaminifu kwenye ndoa la sivyo ungekuwa unajua rangi ya manii kutokana na uzoefu ambao ungeupata kwa kuwa na men mbalimbali. Mumeo ni mgonjwa na amwona dokta haraka iwezekanavyo.
HUMU NDANI INABIDI TUWE SERIOUS MTU ANAPO POST KITU MUHIMUNKINCHOGUSA AFYA YA BINADAM SIO KILA WAKATI KUCHANGIA PUMBA TU.KAMA HUNA USHAURI WA KUTOA BORA UACHE TU KUCHANGIA:spy:
HUMU NDANI INABIDI TUWE SERIOUS MTU ANAPO POST KITU MUHIMUNKINCHOGUSA AFYA YA BINADAM SIO KILA WAKATI KUCHANGIA PUMBA TU.KAMA HUNA USHAURI WA KUTOA BORA UACHE TU KUCHANGIA:spy:
habar zenu nauliza nini husababisha shahawa kuwa nyekundu au nyeusi maaana mme wangu anatatizo hilo sasa sijui kama ni tatizo au ni kawaida, msaada plse
Manii nyeusi sijawahi sikia, lakini inawezekana ana bleeding ya ndani kwa ndani. Kamata mkono, peleka kwa urologist na hakikisha hubandui kalio hapo
(food for thought. Kama katembea na mke wa mtu wamemloga aisee.lol)
Nendeni mkamuone daktari haraka sana, na wala msifanye huo mchezo kabla ya kumuona daktari, that is serious issue! hayo majamaa hayawezi kuwa mekundu wala meusi, mtaalam atawaeleza rangi halisi inakuweje!