Nataka kujua nyimbo ya kwanza ya dazbaba imetoka mwaka gani???? Na kati ya ngware na daz baba nani wa kwanza kurelease nyimbo na ilikuwa mwaka gani na albumu ya kwanza ya mangware ilitoka mwaka gani kama ya daz baba ilitoka 2005 Na nyimbo ya kwanza ya mangware ilitoka 2003 Geto langu