Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,203
HahahahahaSimba inamatatizo Mengi sana aisee.
Mangungu nae ni sehemu ya Tatizo.
1. Muwekezaji shida.
2. Body Shija.
3. CEO shida.
4. Mangungu shida.
5.wanachama Shida.
Mimi ni Mnyama, na inawezekana mwamba hapo juu ni Uto lakini alichosema ni sahihi! Katiba yetu ni ya ovyo sana! Wakati katiba ya Uto inasema Klabu ipo upande wa wanachama na Rais ndie Bosi, katiba yetu inasema Klabu ipo upande wa Simba Sports Club Company Limited, wakati Mangungu hayupo upande wa Simba Sports Club Company Limited bali yupo upande wa Simba Sports Club! Maamuzi ya Simba Sports Club yanafanyika na Bodi ya Simba Sports Club Company Limited ambako Mangungu anaingia kama Mjumbe tu! Inawezekana hujawahi kusoma katiba ya Simba lakini jiulize tu hivi kuna raha kama Kiongozi wa Klabu kuhusika moja kwa moja na usajili?! Je, kwenye usajili wa Simba umeshawahi kuona Mangungu yupo front seat? Binafsi sijawahi kuona kwa sababu hata usajili unafanywa na upande wa Simba Sports Club Company Limited, na ndo maana wanaoonekana kwenye hilo ni wale walio upande wa Simba Sports Club Company Limited kama vile Mo na Try Again wakati Uto Rais ambae ndie Bosi wa Young Africans Sports Club ndie pia anashughulika na masuala ya usajili! Hivi unafahamu hata Ahmed Ally ambae ni Msemaji wa Simba Sports Club bosi wake yupo upande wa Simba Sports Club Company Limited na sio Simba Sports Club?Utopolo mnamtetea mtu wenu
kabisa, they limit his powers then wanarahumu afanyi kazi,Mimi ni Mnyama, na inawezekana mwamba hapo juu ni Uto lakini alichosema ni sahihi! Katiba yetu ni ya ovyo sana! Wakati katiba ya Uto inasema Klabu ipo upande wa wanachama na Rais ndie Bosi, katiba yetu inasema Klabu ipo upande wa Simba Sports Club Company Limited, wakati Mangungu hayupo upande wa Simba Sports Club Company Limited bali yupo upande wa Simba Sports Club! Maamuzi ya Simba Sports Club yanafanyika na Bodi ya Simba Sports Club Company Limited ambako Mangungu anaingia kama Mjumbe tu! Inawezekana hujawahi kusoma katiba ya Simba lakini jiulize tu hivi kuna raha kama Kiongozi wa Klabu kuhusika moja kwa moja na usajili?! Je, kwenye usajili wa Simba umeshawahi kuona Mangungu yupo front seat? Binafsi sijawahi kuona kwa sababu hata usajili unafanywa na upande wa Simba Sports Club Company Limited, na ndo maana wanaoonekana kwenye hilo ni wale walio upande wa Simba Sports Club Company Limited kama vile Mo na Try Again wakati Uto Rais ambae ndie Bosi wa Young Africans Sports Club ndie pia anashughulika na masuala ya usajili! Hivi unafahamu hata Ahmed Ally ambae ni Msemaji wa Simba Sports Club bosi wake yupo upande wa Simba Sports Club Company Limited na sio Simba Sports Club?
Sasa tusiwe tunaongea kama watu wa Instagram au akina mama wa mtaani na badala yake tuongee kama GTs! Kwa mazingira kama hayo Mangungu unamlaumu vipi na matokeo mabaya ya Simba?
that's the truthKama utani, tatizo la simba ni Mo, Magori na Try again.
Wewe ni sehemu ya tatizo piaMimi ni Mnyama, na inawezekana mwamba hapo juu ni Uto lakini alichosema ni sahihi! Katiba yetu ni ya ovyo sana! Wakati katiba ya Uto inasema Klabu ipo upande wa wanachama na Rais ndie Bosi, katiba yetu inasema Klabu ipo upande wa Simba Sports Club Company Limited, wakati Mangungu hayupo upande wa Simba Sports Club Company Limited bali yupo upande wa Simba Sports Club! Maamuzi ya Simba Sports Club yanafanyika na Bodi ya Simba Sports Club Company Limited ambako Mangungu anaingia kama Mjumbe tu! Inawezekana hujawahi kusoma katiba ya Simba lakini jiulize tu hivi kuna raha kama Kiongozi wa Klabu kuhusika moja kwa moja na usajili?! Je, kwenye usajili wa Simba umeshawahi kuona Mangungu yupo front seat? Binafsi sijawahi kuona kwa sababu hata usajili unafanywa na upande wa Simba Sports Club Company Limited, na ndo maana wanaoonekana kwenye hilo ni wale walio upande wa Simba Sports Club Company Limited kama vile Mo na Try Again wakati Uto Rais ambae ndie Bosi wa Young Africans Sports Club ndie pia anashughulika na masuala ya usajili! Hivi unafahamu hata Ahmed Ally ambae ni Msemaji wa Simba Sports Club bosi wake yupo upande wa Simba Sports Club Company Limited na sio Simba Sports Club?
Sasa tusiwe tunaongea kama watu wa Instagram au akina mama wa mtaani na badala yake tuongee kama GTs! Kwa mazingira kama hayo Mangungu unamlaumu vipi na matokeo mabaya ya Simba?
kabisa, they limit his powers then wanarahumu afanyi kazi,
Ulizaliwa kipindi cha njaa
Paschal Mayala ama? πππUlizaliwa kipindi cha njaa
YES Shimba ya Buyenze ndio Pascal Mayalla. Jamaa kumbe ni mweupe sana kwenye attacking mpaka amejulikanaPaschal Mayala ama? πππ
Mchukueni nyie utopoloI will be short
Nitasimama kwenye haki, na kwenye haki Mangungu hana makosa kabisa. 1 good reason, Mangungu hana Sauti kubwa Simba kama mashabiki wanavyodhani, In short bodi inayoteuliwa na tajiri ndio wanatatizo. mangungu yupo kusema sawa tu.
Mangungu 2029
Wewe umegunduaje kuwa hao ni mtu mmoja? Kama ni hivyo basi Paschal ni mtu mzima. Jaribu kumheshimu kidogo maana nimekuona unamvunjia heshima kwa kumjibu vibaya na kumlima dislikes nyingi. Hata kama mlikosana sameheaneni tu maana maisha ni haya haya bana! πYES Shimba ya Buyenze ndio Pascal Mayalla. Jamaa kumbe ni mweupe sana kwenye attacking mpaka amejulikana