Mangungu akatwa.


Bila shaka Mwenyekiti atakuwa ni Swedy Mkwabi.

Kwasababu ana base kubwa ya wanachama.
Na pia alishawah kuchaguliwa na kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Simba 2018, na mwaka 2019 akajiuzulu .

Lakin pia alikuwa kwenye Bodi ya upande wa wawekezaji ya wakina Mo na Magori (49%) na ni mwenyekiti wa kamati ya mashindano.

Kwahiyo ana kubalika pande zote 2.
 
Mangungu alikuwa anajiona mjanja kuleta migogoro isiyo na masna Simba Sc.

Kigezo cha umri kitakuwa kimemuondoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…