Rais mwenyewe aliwaambia wana ccm wajiandae kisaikolojia kwa yatakayotokea 2015....
Ziara ya Dr. Slaa US ndo imewamaliza kabisa..
ndiyo anajua leo kwamba CCM ilishajifia longi...Makamu mwenyekiti wa CCM,Ndugu Philip Mangula,amesema nguvu ya CHADEMA inakitishia CCM.Ameelezea kushangazwa kwake na nguvu ya CHADEMA dhd ya CCM yenye wanachama wengi.
My take:
Ni dhahiri sasa kuwa hata viongozi wa CCM wanatambua kuwa CHADEMA kinaelekea kushika dola 2015.SOURCE MAJIRA YA LEO Tarehe 10/10/2013
Wewe ni kati ya wale ambao KARUME alisema mna akili za samaki!ahahah hizi ni ndoto za mchana kabisa, CDM ndo wanapumulia machine chama chao kinafutika kwenye ramani ya dunia 2015. Katibu mkuu wa CDM kaanza u Vasco Dagama kwa ziara za marekani, anatafuta uhalali wa kutafuna pesa ambazo CDM wanapata kutoka kwa walalahoi na wahisani!
Baada ya Uchaguzi wa 2010 Viongozi wa CDM walimdanganya Slaa kwamba kashinda! yaani ni kichekesho uwezi kukosa hata theluthi ya wabunge wa kuchaguliwa majimboni alafu ukaota umeshinda Uraisi!!.
My advice kwa Slaa 2015 agombee jimboni kwake tu ubunge, wananchi wa jimbo lake pengine bado wanamkubali, akigombea uraisi ndo utakuwa mwisho wake kisiasa kwani atashindwa vibaya sana.
Ndiyo ni kweli kuna baadhi ya mambo chadema inatisha,kama vile kufundisha wananchi kuandamana,kusema uongo,na kupora wake za watu.
usiwe unaongea kama bwabwa..
ndiyo anajua leo kwamba ccm ilishajifia longi...