Mangula: Ndoa ya UKAWA ni feki

Mangula ni Mzalendo na Mtumishi mwaminifu kuliko genge lote la ukawa.
 
Wajifunze Kenya, CCM wanafikiri kwa masaburi aisee!
 
Mbona ameishia uchaguzi wa 2005 wa 80% au amesahau wa 2010 aone chama kinavyoporomoka kwa kasi ya ajabu.
 
Hivi vizeee vya ccm vina zeeka vibaya sana.Aendelee kuota tu.

*team ukawa*

Huyu Mzee si ndiyo aliwapa miezi sita wale wagombea waliopita kwa rushwa kwenye chaguzi za ccm kujiuluzu..! Sasa mbona imeshapita miaka amekaa kimya na anakuja kuibukia huku kwenye mambo ya ukawa ambayo hayamuhusu..?
 
Hivi vizeee vya ccm vina zeeka vibaya sana.Aendelee kuota tu.

*team ukawa*

Ndugu Mbona mnakuwa wajinga hivyo, sasa Hutu mzee kasema lipi la ajabu!! Yote aliyoyaweka hapa yametokea na yana ushahidi. Na pia ni kweli huu muungano unawapa ccm Upinzani wa wagombea wachache na uwezakano wa kushinda kwa urahisi
 
na nyie ruksa kuungana na ACT - tatizo kwani? mbona mmeushupalia sana muungano wetu??
 
Mbona mangula ajasema 2010 walishinda kwa asilimia ngapi?
 
CCM wanajifariji tu.lakini uwamuzi wa ukawa ni tishio kwao,tena kubwa
 
Mangula ni Mzalendo na Mtumishi mwaminifu kuliko genge lote la ukawa.

Kama ni mzalendo kwa nini asijiuzuru baada ya kushindwa lile agizo lake la kutoa miezi 6 eti waliopata uongozi kwa rushwa watavuliwa vyeo vyao ?.
 

Ndio mnavyodanganywa na Disco Jocker!
 
Hivi vizeee vya ccm vina zeeka vibaya sana.Aendelee kuota tu.

*team ukawa*
Vizee vya CCM vimejitoa ufahamu ili viendelee kula kwa mikono miwili tena bila kunawa. Hiki kazee kinakumbuka wakati mgumu wa kulima nyanya na bado zilikoseshwa soko na mitandao ya CCM. Sasa amekubali kujitoa ufahamu na kuongea kama maccm mengine yaliyojitoa ufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…