Mangula amkosoa Ole Sendeka

Anguko lap ni.marekebisho ya katiba ujanja wao ndio upo hapo basi...
 
watu wanashindwa kutofautisha kati ya siasa na kampeni ya uchaguzi,siasa haiwezi kuwa na mwisho kampeni ndio ina mwisho ,kuisha kwa siasa ni kufutwa kwa vyama vya siasa.
 
Na hii ni ishara kuwa ccm wanakwenda kupasuka mapande ya kikanda kwani hawa wazee waling'ang'ania madaraka wakasahau kuwajenga vijana. Na hivi wengi wa vijana waliopo kwenye vijinafasi ni wanaharakati zaidi ya kuwa wanasiasa. Nao wapo kimaslahi zaidi. Hivyo kwa makosa ya hawa wazee ccm itazidi kupwaya na kupasuka mara dufu na hatimaye kufa kabisa. Siku hawa wazee wakiziwahi namba kwa muumba ndipo mtawaona hawa kina ole watakavyokikimbia chama. Hakuna ujenzi wa chama kwa sasa bali kuna ujenzi wa nchi. Ccm na viongozi mababu.
 
Mh mang'ula Mbona umetoa mifano ya zamani SANA ? Hiyo ya 2000 is irrelevant, why not 2010 Na 2015?
 
CCM ingekuwa inataka hata wapinzani washiriki kujenga nchi kupitia bunge wangeacha lugha za kuudhi Na ngonjera zao
 
Hakika nalisubiri anguko kuu la CCM, na siku ikitoka madarakani nitatembea kwa mguu kutoka Kingolwira hadi Lumumba kuwazodoa hao
Naona kama ikitokea utakuwa mzee sana na hutoweza kutembea. Nakushauri weka nadhiri ya mafanikio katika shughuli za kukuingizia pesa.

Unadhani kwa watu wa UKAWA wanaweza kuleta ukombozi zaidi ya kushibisha matumbo yao? Bado sana.
 
big up mzee M. bishara ya kucopy na kupest ya wapinzani huku hujajifunza malengo yao marfuku!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…