Mangimeli aponea chupu chupu ajali ya pikipiki

unamaanisha nini hapa? ..kuwa hawa wavaa sketi ni sawa na bodaboda?
 
Ilikua ni jana usiku maeneo ya dakawa,lakini mungu alivyo mkubwa sikuumia ila gari ilipanda juu ya pikipiki yangu naomba mnipe pole.

jamani samahanini nlichanganya kwenye kufanya attach ya picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…