Mangenita 26/4 atakuwa ka picha hizi

Mwanamuke huyu atakuwa hivi na ubosi wake wa akili ya kuongoza watu kwa nguvu zote kama anawamiliki na kuwaambia usoni na kujizuia kutukana pia.. na kuvumilia.. sasa pale ataona kumbe.. mtamkoma na maneno yake machafu baada.. sinema kunogile siku hiyo.. tena atakuwa kwake hajaenda huko kusimama na kupunga upepo.. atakuwa ameshajua mumemusaliti na kumbe munamudanganya tangu..
Coco chanel kama unatumia passport ya Tanzania, ninakuomba uirudishe tafadhali!!

Watanzania tuna matatizo yetu kwenye Kiswahili, na nitayaereza baadae nikiludi home lakini suala la mwanamuke kuanza kumudanganya na kumulaghai watu mungine, huo sio Utanzania
 
Sasa wewe basi siyo Mutanzania halisi kutokujua kuna makabila na swahili aiongelewi nchi nzima.. umenisikia mimi wewe.. mutu hujui kuna lugha mingi hapa..
 
Cc you been talking like Mama nanii and only from her where I been feeling that taste...

Anyway, nitamuambia mutu mungine ya karibu wangu kwamba inawesekana mimi si Mutansania
 
Mwanamuke huyu atakuwa hivi na ubosi wake wa akili ya kuongoza watu kwa nguvu zote kama anawamiliki na kuwaambia usoni na kujizuia kutukana pia.. na kuvumilia.. sasa pale ataona kumbe.. mtamkoma na maneno yake machafu baada.. sinema kunogile siku hiyo.. tena atakuwa kwake hajaenda huko kusimama na kupunga upepo.. atakuwa ameshajua mumemusaliti na kumbe munamudanganya tangu..

View attachment 742895

View attachment 742894

View attachment 742892

View attachment 742891

View attachment 742896

View attachment 742897

View attachment 742898

View attachment 742893

Sasa umeandika nini? Upumbavu mtupu!
 
Cc you been talking like Mama nanii and only from her where I been feeling that taste...

Anyway, nitamuambia mutu mungine ya karibu wangu kwamba inawesekana mimi si Mutansania

Ha ha ha haaaa
Sasa weye tabu yako nini hasa..
Mimi kama naongea kilugha na unanionea wivu basi weye ongea hiyo swahili yako utakavyo sijui na kimombo..

Si kunataka mutu awe muzalendo au.. eeeh
 
MKONGWE WA HUMU HIVI KWELI WW NDO UMEANDIKA HUU UJINGA?

UNAINGIA JF2007 MM NDO NIPO STD 7 kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi
 
Mwanamuke huyu atakuwa hivi na ubosi wake wa akili ya kuongoza watu kwa nguvu zote kama anawamiliki na kuwaambia usoni na kujizuia kutukana pia.. na kuvumilia.. sasa pale ataona kumbe.. mtamkoma na maneno yake machafu baada.. sinema kunogile siku hiyo.. tena atakuwa kwake hajaenda huko kusimama na kupunga upepo.. atakuwa ameshajua mumemusaliti na kumbe munamudanganya tangu..

View attachment 742895

View attachment 742894

View attachment 742892

View attachment 742891

View attachment 742896

View attachment 742897

View attachment 742898

View attachment 742893
Nchi itaendelea kwa propaganda za kipumbavu, kwetu sisi tumeamua kuachana na siasa mpango ni kujiletea maendeleo wenyewe. Ni kweli manamba haelimiki
 
Ha ha ha haaaa
Sasa weye tabu yako nini hasa..
Mimi kama naongea kilugha na unanionea wivu basi weye ongea hiyo swahili yako utakavyo sijui na kimombo..

Si kunataka mutu awe muzalendo au.. eeeh
Muda mufupi uliopita nilikuwa namusikiliza babake na Jesca, yule mujomba wake na Mange Kimambi! Nimeamua na mimi niongee kama yule muzee!
 
Trust me, huyu atakuwa hajui Kiswahili na alichokifanya, hayo maneno aliyaandika kwa Kiingereza then akayaingiza kwenye google translator kuja kwenye Kiswahili ndiyo maana unaona hayaeleweki, jaribu kukopi alichokiandika halafu ingiza kwenye translator utaelewa namaanisha nini, pole nyonyo cocochanel
 
Hizi ni stock photos,that means u put a lil efort to it kudos to that.ingaweje uandishi ndo umeleta mushkel,sjui umetype ukiwa unatembezewa ukuni?.
 
Back
Top Bottom