Mangenita 26/4 atakuwa ka picha hizi

Unaratibu maandamano katika jamii ya watu ambao unajua hata picha ya nandy kukaa uchi tu inaweza wasahaulisha maandamano, na bado unajipa moyo yatafanikiwa.. Akili ni nywele.
 
vijana tunaodhani wako timamu vizur ndo wanaoandika haya!! acha tu tuibiwe trioni na kadhalika mana hatjielewi
 
vijana tunaodhani wako timamu vizur ndo wanaoandika haya!! acha tu tuibiwe trioni na kadhalika mana hatjielewi

Na wewe kuchukua muda wako kusoma basi oyeeeeeeeeeee
Ha ha haaaaaaa.. tatwizo lako ni jiongeze utafika
 
Mwanamuke huyu atakuwa hivi na ubosi wake wa akili ya kuongoza watu kwa nguvu zote kama anawamiliki na kuwaambia usoni na kujizuia kutukana pia.. na kuvumilia.. sasa pale ataona kumbe.. mtamkoma na maneno yake machafu baada.. sinema kunogile siku hiyo.. tena atakuwa kwake hajaenda huko kusimama na kupunga upepo.. atakuwa ameshajua mumemusaliti na kumbe munamudanganya tangu..


View attachment 742895

View attachment 742894

View attachment 742892

View attachment 742891

View attachment 742896

View attachment 742897

View attachment 742898

View attachment 742893

Matokeo ya shule za kata zao la chama cha mapinduzi

Sasa embu rudia wewe mwenyewe kusoma ulichoandika kama utaelewa ukielewa then tujuze
 
images (7).jpeg
 
Ila Mangenita muongo aiseeee.. kajiendea kutafuta kusaidiwa huku wa hapa nchini anawasukuma.. halafu anapiga biz cards pucha alizoenda kuchukua mwenyewe na kudanganya wadanganyika eti wamemfata kwa ndege.. ha ha haaaaaaaaaaaa

Kwake walikuwa hawapajui ha ha haaaaaaa

Kesho atalia haswaaa
 
Coco chanel kama unatumia passport ya Tanzania, ninakuomba uirudishe tafadhali!!

Watanzania tuna matatizo yetu kwenye Kiswahili, na nitayaereza baadae nikiludi home lakini suala la mwanamuke kuanza kumudanganya na kumulaghai watu mungine, huo sio Utanzania
 
Back
Top Bottom