Mange na Mtaliano wako mmetukosea sana

Mange na Mtaliano wako mmetukosea sana

Ila yote kwa yote Mwammy anatumia kitega uchumi chake cha asili kwa faida mno na anakumbuka kutoa support kwa ndugu zake...Na kaka anapokea msaada akijua fika umetoka kwa hisani ya kitega uchumi asili cha sister..
nimeshakusoma. We siuliona jamaa wa awam iliyopita alivyokausha na kukomba hazina kwa ajili ya hiv hiv vitega uchum asilia
 
Movie ya kihindi lazima iwe na muda wa mapumziko watu waende chooni wale karanga soda kidogo halafu movie linaendelea
 
nchi hii ndio maana wizi,uongo,ufisadi hauishi, watz hatuko imara kwenye mambo ya msingi, ndio maana wanatuchezea wakijua baada ya wiki jambo limepoa! hata wanahabari wanafata jambo kwa haraka na kuliacha kwa haraka. huu udhaifu ndio unaotumiwa. hakuna hata chombo kimoja kiliongelea hili jambo zaidi ya watu kwenye mitandao, ingekua nchi nyingine tuhuma tu polisi hawa!! tz hata ya waziri aliehukumiwa kuitumikia jamii juzi tu tumeshamsahau!! tunasahau hata tunapoonewa na kunyang'anywa haki. mtu anakaa na mwizi nyumba moja lkn anaona poa! mtu anaona unaibiwa kapiga kimya! mwenzako anatoa rushwa kwa trafik wewe wa nyuma unasubiri amalize nawe ukatoe ya kwako! watz tunaenda. ila tunajali amani yetu, mungu tusaidie.....
 
1457597983492.jpg
 
Back
Top Bottom