Ebwana wanaJF Mzuka!
Watu yani tulishikwa na mihemko full furaha. Tulitoa offer za vinywaji na msosi. Majumbani kwetu keton za vinywaji tulinunua na kuhifadhi. Watu tulishinda jamvin huku tukirusha popcorn vinywani mwetu tukishushia na Pepsi baridi.
Mmetukatisha stimu na kutuangusha sana!