Rejesha pumba zako huko insta ... apa ni sehemu zama great thinkersWanabodi,
Imebidi niseme kidogo kuhusu huyu dada. Sitaki kuzungumzia kabisa harakati zake against utawala wa Rais wa sasa kwasababu mbalimbali lakini huyu dada amekuwa na ushauri mzuri sana kwenye maswala ambayo hana interest au upande.
Moja ya kazi ambayo wengi mtaiona ni nyepesi lakini amei handle kwa akili mno ni mjadala wa matokeo ya mtoto wa msanii maarufu Kajala. Mange Kimambi ametumia vizuri mno command yake huko Instagram kumsaidia huyo binti na indirectly mabinti maelfu wenye hali kama yake.
Sometimes unaweza kuleta impact kwa jamii kwa namna tofauti. Yapo mengi ambayo ni very positive amefanya lakini binafsi nimeona nitumie fursa ya hili kuonesha jinsi ushawishi wake unavyoweza kuibadili Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hilo si lengo langu. Lengo ni kwa wanaomfatilia kwa Karibu ili tupate fikra mpya namna tunavyoweza kuwatumia watu wenye influence kubwa mitandaoni kubadili mambo mengi.Mkuu utufafanulie zaidi sisi tusiotumia instagram juu ya huyo mtu na alichokifanya
Sent using Jamii Forums mobile app
NimekupataMkuu hilo si lengo langu. Lengo ni kwa wanaomfatilia kwa katibu ili tupate fikra mpya namna tunavyoweza kuwatumia watu wenye influence kubwa mitandaoni kubadili mambo mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa griti thinka ...Rejesha pumba zako huko insta ... apa ni sehemu zama great thinkers
Sent using Jamii Forums mobile app
kafanya nn...Wanabodi,