OMGni mchapakazi sikatai......ila wananchi watateseka sana.busara alinyimwagwa,visirani visivyoisha,ugomvi kila uchao
Hapo alipoandika kaka aake anatania. Uwa wanataniana sana hasa yule Bonge. Wakati mwingine inabidi kumuelewa sana. Ni mtu wa utani.Eti anahisi akibadili uraia kaka zake ndio watakaomchoma kwa Lukuvi.
Yaani hili limwanamke bure kabisa.
Hivi hao kaka zake wakiona watajisikiaje?
Ukiwa na ndugu kama huyu katika familia uwe na moyo wa chuma tena chuma cha mjerumani.
Abafikiri kupata ubunge ni kama hizo likes anazoambulia huko instagram.
Aendelee tu kuota
Ni celebrity Mkubwa tu hapa Tz. She is the the best "Female Bloger" ana miliki "U TURN Blog. Ma Miss Tanzania wengi wa kipindi hicho yeye ndiyo aliwaweka kwenye Mainstream. Kama Nancy Sumari, Wema Sepetu, Faraja Nyalandu n.k. U ki mgoogle wanakupa wasifu wake wote. Ahsante.Hivi Mange ni nani? Celebrate?? Ni mwanamuziki? ? Au bongo movie? ?
Labda ataenda kijiji fulani ambapo watu hawamfahamu. Lakini kama ni Dar, Mwanza sijui Arusha asahau.Huyo hafai hata kuwa binadamu seuze ubunge?
Asante, blog yake inaitwaje mkuu? Mbona siyo popular kama Issa michuzi au Millard Ayo? ?Ni celebrity Mkubwa tu hapa Tz. She is the the best "Female Bloger" ana miliki "U TURN Blog. Ma Miss Tanzania wengi wa kipindi hicho yeye ndiyo aliwaweka kwenye Mainstream. Kama Nancy Sumari, Wema Sepetu, Faraja Nyalandu n.k. U ki mgoogle wanakupa wasifu wake wote. Ahsante.
Kama anatania its okHapo alipoandika kaka aake anatania. Uwa wanataniana sana hasa yule Bonge. Wakati mwingine inabidi kumuelewa sana. Ni mtu wa utani.
Hawezi kuacha maana ndiyo tabia yake ni sawa na kumwambia aache kushinda mtandaoniAkiacha kabisa mamboya mipasho na umbeya..basi ni mwanamke jasiri , inteligent na muelewa wa hali ya kisiasa Tanzania.
Akianza sasa kubadilika na namna ambavyo anajua kupanga point zake basi ni wazi anaweza kufika mbali. Aache mambo ya bullying.
Aanze kujifunza sasa kustahamili kisisasa maana kwenye kampeni wapinzani wake wanaweza kumchokonoa kabisa ili wamtoe kwenye mstari ...lakini kama atasimama bila kuwa intimidated basi atashinda
Hivi wewe ni nani yake mpaka umnenee kwamba hawez kuacha!? Akiamua anaweza bora kuwa na Mbunge kama Mange mlopokaji kuliko kuwa na wabunge wa 10Mil. Wale mwanzo mwisho wanasujudu chama kuliko wapiga kura!Hawezi kuacha maana ndiyo tabia yake ni sawa na kumwambia aache kushinda mtandaoni
Umeniweka avatar yako au macho yanguHahahah....nimecheka sana mkuu....anatania banaaa
Macho yakoUmeniweka avatar yako au macho yangu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Macho yako
Labda ubunge wa instagramAkijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Hongera Mange kwa utajiri wa ajabu.
Tiger Motel ipo wapi? Au ndio Motel Agip?