Manesi kufanya usafi Masana hospitali hii tabia bado ipo?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,585
Miaka minne iliopita niliwahi kuja hapa kulalamika manesi wanavyotumika Hospitali ya Massana.

Nikiwanapeleka chakula nikakuta manesi wawili wako juu wanadeki kabisa mwanzo mwisho. Niliposhuka chini nako manesi wanadeki.

Mmoja wao nilipomuuliza alifika kuniambia nikale wapi mwanangu kama nitaacha hili.

Binafsi nilipata namba ya mama moja ambae alionekana mkatili lakini nilienda nae sawa mwisho akasema hayo ni majukumu ya Hosptitali.Sisi haituhusu.

Mungu amrehemu mmiliki wake nilipomweleza akanihakikishia kufuatilia nakukifanyia kazi.

Leo nimetoka Kinondoni nimekuta kazahanati kamoja nurse yeye.. Reception yeyee aisee nahisi na kudeki anadeki.Nikakumbuka hili hope wamebadilika.

Mara ya mwisho niliambiwa mama katumbhliwa kapelekwa anasimamia chuo sio manurse tena.

Ni vyema hatakama kubana matumizi muwe na special cleaners walewale manesi wanakwenda kusaidia wagonjwa unaweza waza moyoni wanamsidiaje mgonjwa wakiwa awana amani.
 
Back
Top Bottom