Maneno yanayokera wakati wa kutongoza

Kuna Watu Humu Wanajipa Sifa Na Kujifanya Wanashobokewa kumbe Ni Midomo Zogoa
 
kuna wanaume akikutongoza utasikia

-dadangu ana shamba kubwa goba
-mjomba wangu ni waziri
-nyumba ya babangu iko mbezi na nyingine masaki

WHO CARES!
 
Naomba elfu thelathini kwa nini asiseme elfu hamsini
 

mkuu umetsha
 

mkuu salute kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…