Simpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yakemambo vip wana mmu ...kuna maneno flan huwa yananikera hasa pale ninapo mtongoza msichana ..bas anaponiambia huwa nakosa hata jib..but ina bidi ..nipige sound tu ..nakurudisha kumbukumbu alimrad tu ..apotee na atoke kwenye lengo...kuna maneno kama...umenipendea nn??.....ntajuaje ka unanipenda???...huwaoni wengine....hunamvuto...sitakiiiiiiiiiiii....ok wewe pia najua yapo yanayokukera..tiririkaaaaaa
Simpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yake
Mimi neno linalonikera ni "je umepima?"
Mimi wanakuja wenyewe bila kuwahitajiMim huwa nakereka kama akiwa bikira.kwakweli bikira sipendi aisee
Simpo...unanipendea nn? - Napenda jinsi ulivyo.......ntajuaje unanipenda??? - ndo maana nipo hapa....wengine huwaoni?? - wengine upuuzi mtupu hakuna anaekuzidi......akikwambia huna mvuto, we chomoa burungutu mfukoni halafu unarudisha...na akikwambia sitaki muombe contact za rafiki yake
Kweli we kijana wa leokwa kweli nimesahau kutongoza hivi kupo kweli? maana siku hizi ni mwendo wa twende diner, baada ya hapo siku 2 umepiga mzigo. kwahiyo mimi hakuna neno linalonikera.
Mambo vipi wana MMU. Kuna maneno fulani huwa yananikera hasa pale ninapo mtongoza msichana.Basi anaponiambia huwa nakosa hata jibu but inabidi nipige sound tu nakurudisha kumbukumbu alimradi tu, apotee na atoke kwenye lengo.Kuna maneno kama:
1) Umenipendea nini?
2) Nitajuaje ka unanipenda?
3) Huwaoni wengine?
Hunamvuto sitaki.Ok wewe pia najua yapo yanayokukera.
Tiririkaaaaaa
Kweli we kijana wa leo