maneno ya kagame baada ya magufuli kuondoka rwanda

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,428
8,138
Kwenye nukuu zilizotolewa na ofisi ya Rais Rwanda kutoka kwa Rais Kagame ambaye aliyasema haya baada ya Rais Magufuli kuondoka Rwanda, ni pamoja na hii >>> ‘Kwa uongozi mpya, sasa Rwanda na Tanzania watafurahia uhusiano mzuri na kila tatizo litatuliwa‘
 
Biashara zitaimarika kwa faida za nchi zote, safi sana Magufuli na Kagame wote ni watu wa hapa kazi tu, hakuna kitakachoharibika
 
Kila tatizo litatatuliwa?I don't think so.Nadhani matatizo mengi yatatatuliwa sio yote.

Back
Top Bottom