Maneno ya hekima toka kwa lowassa

Maneno ya hekima toka kwa lowassa

Mr. Mangi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
1,512
Reaction score
771
Lowasa alipoulizwa kuhusu afya yake na wanaombeza, alijibu kwa huruma na upole, afya yangu mwenyezi MUNGU ndiye anayeijua maana sijui nitafia wapi au kwa njia gani, niwapongeze hao walio wazima milele maana aliyewajalia afya njema ndiye alinipa mimi maradhi, maana wao wataishi milele na mimi nitakufa tuu, ila bado nikiwa na pumzi na uhai huu hata kama nimelala kitandani naugua ugonjwa nitaendelea kuipigania Tanzania.

Ikumbukwe mimi nilikuwa nina hii ndoto ya kuwaongoza Watanzania na kuwaondolea umaskini toka Mwaka 1990 na bado ninaamini naweza kuitimiza, cha muhimu sasa ni kila mtu anatafuta kick ya kuaminika zaidi na Wananchi ili wampe kura, tatizo linakuja pale tuu ni njia gani wanaiyoitumia kuomba kura, either kwa kumdhihaki mwingine au wananchi au kwa kutumia sera makini. Kabla ya kampeni na wakati tukifungua kampeni zetu Jangwani nilishasema tutaendesha kampeni safi zisizo na maneno machafu ya kumdhihaki mtuu.. Kwa hilo nafikiri mpaka sasa nalisimamia vizuri, sikuwahi kumtaja mtu mwingine kwa kumchafua toka nianze kampeni maana ninaamini hao hao tunaopingana nao majukwaani wengine lazima tufanye nao kazi ofisi moja ili kuleta maendeleo kwa Watanzania...

Touch me deeply.... always WISDOM is a good career in Leadership

Heshima kwako Emma the blues
 
Najiunga na wale Mashekh kuendelea kumuombea ili ndoto yake na ndoto ya Watanzania iwezi kutimia. الله يكون معكم .GOD BE YOU LOWASSA.
 
Ze komedi mwenzao yupo kitandani, mh. Xxxx ndio huyo tena anaenda kupumzika, komba yupo wapi??? Wote hawa waliwadhihaki wenzao kiafya.. Jamani sisi sote ni wagonjwa na marehemu wa kesho. Tuheshimuni Mungu.
 
ni maneno ya hekima,unajua wanaomharibia lowasa ni hawa bavicha,hasa wa humu jf....maana wamejaa majigambo na vitisho ambavyo havijengi,bali vinachochea chuki
 
Lowasa ana mengi ya kutufunza, hata asipokiwa Rais wa nchi hii kuna jambo moja hufundishwa kila siku, uimbwa kila siku, husemwa kila siku, linahibiriwa na media kila siku na lowasa analo sana, LIVE YOUR DREAMS.

Si hilo tu, lipo na hili Timiza unachokitaka, Usikate tamaa, na vumilia

Hayo mambo hapo juu kila siku tunaimbiwa, wajasilia mali na watoa elimu za biashara na maisha. Kila siku husema mtu anaefanikiwa ni anaeishi ndoto zake, anaejituma, mwenye kauli njema, asiechoka wala kukata tamaa, Mvumilivu.

Lowasa anayo yote, ana ngozi ya uvumilivu, amechubuliwa miaka 8 tangu akipojiuzuru lkn mara chache amejibu, mara zote hajatusi, kwa vyovyote ana react positively.

Lowasa, kwa haya umetuachia funzo.

MUNGU MPE AFYA NJEMA, AISHI MUDA MREFU ADUI ZAKE WA FEDHEHEKE.
 
Opinion polling for Tanzania General Presidential Election 2015
Mh. Dr. John Pombe Magufuli (CCM)
16.8% 2449
Mh. Edward Lowassa (CHADEMA)
81.9% 11961
Other 1.4% 199
Total Vote 14609
- See more at: VOTE ONLINE FOR TANZANIA PRESIDENT | #VOTE4TPO | Mayocoo , Special Voting portal
 
Lowasa alipoulizwa kuhusu afya yake na wanaombeza, alijibu kwa huruma na upole, afya yangu mwenyezi MUNGU ndiye anayeijua maana sijui nitafia wapi au kwa njia gani, niwapongeze hao walio wazima milele maana aliyewajalia afya njema ndiye alinipa mimi maradhi, maana wao wataishi milele na mimi nitakufa tuu, ila bado nikiwa na pumzi na uhai huu hata kama nimelala kitandani naugua ugonjwa nitaendelea kuipigania Tanzania.

Ikumbukwe mimi nilikuwa nina hii ndoto ya kuwaongoza Watanzania na kuwaondolea umaskini toka Mwaka 1990 na bado ninaamini naweza kuitimiza, cha muhimu sasa ni kila mtu anatafuta kick ya kuaminika zaidi na Wananchi ili wampe kura, tatizo linakuja pale tuu ni njia gani wanaiyoitumia kuomba kura, either kwa kumdhihaki mwingine au wananchi au kwa kutumia sera makini. Kabla ya kampeni na wakati tukifungua kampeni zetu Jangwani nilishasema tutaendesha kampeni safi zisizo na maneno machafu ya kumdhihaki mtuu.. Kwa hilo nafikiri mpaka sasa nalisimamia vizuri, sikuwahi kumtaja mtu mwingine kwa kumchafua toka nianze kampeni maana ninaamini hao hao tunaopingana nao majukwaani wengine lazima tufanye nao kazi ofisi moja ili kuleta maendeleo kwa Watanzania...

Touch me deeply.... always WISDOM is a good career in Leadership

Heshima kwako Emma the blues

Lowassa wewe ndio rais wangu

#mabadilikoLowassa
 
ni maneno ya hekima,unajua wanaomharibia lowasa ni hawa bavicha,hasa wa humu jf....maana wamejaa majigambo na vitisho ambavyo havijengi,bali vinachochea chuki

Magufuli,Bulembo na Msukuma ni Bavicha?
 
Hakika ni maneno yaliyoyajaa busara na hekima ya hali ya juu.
 
Back
Top Bottom