Maneno ya Gambo Ingekuwa Wakati Ule Monduli, Wangemshusha Jukwaani.

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,798
71,218
Kumbe ndio maana siku hizi kamisheni za maafisa wa Jeshi zinatolewa nje ya kambi zao ili kuwapa nafasi wanasiasa kuongea utumbo wao ambao wasingeweza kuusema pale TMA Monduli maana sio mahali pa siasa.

RC wa Arusha alipopewa nafasi ya kutambulisha wageni akatumia nafasi hiyo kuingiza ujinga wa siasa kwa kusema "hizi unazoziona mheshimiwa rais ni rasharasha, mvua yenyewe ni 2020" kisha akawageukia wananchi "watatuwezaaa!"

Sura za makamanda wa Jeshi jukwaani zilionyesha kukereka na kushangaa! Kwenye shughuli kubwa za kijeshi huwa hakuna mambo ya "vyama" lakini amiri mkuu anaonyesha halielewi hilo.

Je haelewi kwa sababu zile alizosema Zitto? Ushamba na uzumbukuku au kuna kingine!
 
Kumbe ndio maana Sikh hizi kamisheni za maafisa wa jeshi zinatolewa nje ya kambi zao ili kuwapa nafasi wanasiasa kuongea utumbo wao ambao wasingeweza kuusema pale TMA Monduli maana sio mahali pa siasa.
RC wa Arusha alipopewa nafasi ya kutambulisha wageni akatumia nafasi hiyo kuingiza ujinga wa siasa kwa kusema "hizi unazoziona mheshimiwa rais ni rasharasha, mvua yenyewe ni 2020" kisha akawageukia wananchi "watatuwezaaa!"
Sura za makamanda wa jeshi jukwaani zilionyesha kukereka na kushangaa! Kwenye shughuli kubwa za kijeshi huwa hakuna mambo ya "vyama" lakini amiri mkuu anaonyesha halielewi hilo.
Jee haelewi kwa sababu zile alizosema Zitto? Ushamba na uzumbukuku au kuna kingine!
Kasema ukweli lakini na wewe hupendi kuambiwa ukweli
 
S
Kumbe ndio maana siku hizi kamisheni za maafisa wa Jeshi zinatolewa nje ya kambi zao ili kuwapa nafasi wanasiasa kuongea utumbo wao ambao wasingeweza kuusema pale TMA Monduli maana sio mahali pa siasa.

RC wa Arusha alipopewa nafasi ya kutambulisha wageni akatumia nafasi hiyo kuingiza ujinga wa siasa kwa kusema "hizi unazoziona mheshimiwa rais ni rasharasha, mvua yenyewe ni 2020" kisha akawageukia wananchi "watatuwezaaa!"

Sura za makamanda wa Jeshi jukwaani zilionyesha kukereka na kushangaa! Kwenye shughuli kubwa za kijeshi huwa hakuna mambo ya "vyama" lakini amiri mkuu anaonyesha halielewi hilo.

Je haelewi kwa sababu zile alizosema Zitto? Ushamba na uzumbukuku au kuna kingine!
Sijawahi kumchukulia gambo kama kiongozi au mwenye busara.Kwangu ni kibaka tu aliyebahatisha "kumbaka bikira" na kumpa ujauzito na kupata heshima ya kuitwa baba!
 
Kasema ukweli lakini na wewe hupendi kuambiwa ukweli
Wewe kichwa chako hakipo sawasawa..

Iwe ukweli au uongo.. Jeshi la wananchi wa Tanzania halina chama na haliruhusiwi kujiingiza kwenye siasa na hiyo ndio sababu unaona linabakia na heshima yake miaka yote..

Kutokea mpumbavu mmoja akatumia jukwaa la JWTZ kufanya siasa wewe unaona ni sahihi?

Una akili wewe?
 
19149238_1495971977119550_6064693837857265507_n.jpg
 
Kumbe ndio maana siku hizi kamisheni za maafisa wa Jeshi zinatolewa nje ya kambi zao ili kuwapa nafasi wanasiasa kuongea utumbo wao ambao wasingeweza kuusema pale TMA Monduli maana sio mahali pa siasa.

RC wa Arusha alipopewa nafasi ya kutambulisha wageni akatumia nafasi hiyo kuingiza ujinga wa siasa kwa kusema "hizi unazoziona mheshimiwa rais ni rasharasha, mvua yenyewe ni 2020" kisha akawageukia wananchi "watatuwezaaa!"

Sura za makamanda wa Jeshi jukwaani zilionyesha kukereka na kushangaa! Kwenye shughuli kubwa za kijeshi huwa hakuna mambo ya "vyama" lakini amiri mkuu anaonyesha halielewi hilo.

Je haelewi kwa sababu zile alizosema Zitto? Ushamba na uzumbukuku au kuna kingine!
Ha ha ha ha ha aaa, ukweli unauma etii? Bye bye jimbo la Arusha 2020. Hata iweje na hata jiwe likisimama kwa upande wa CCM, litashinda kwa kishindo. Endeleeni kula michango wa wanchi huko Nairobi. Na tunaambiwa wakina Lema na Msigwa wanakesha night Club tu.
 
Back
Top Bottom