Maneno ya Gambo Ingekuwa Wakati Ule Monduli, Wangemshusha Jukwaani.

Kidumu chama cha Mapinduzi, mikataba mibovu inasiniwa.
Kidumu chama cha Mapinduzi, Sheria mbovu zinalazimishwa kupirishwa.
Kidumu chama cha Mapinduzi , mihimiki ya dola inawekwa mfukoni,
Kidumu chama cha Mapinduzi,ukata unawamaliza wananchi
Kidumu chama cha Mapinduzi, wafanya biashara na ciongozi wa siasa wananyanyaswa.
Kidumu chama cha Mapinduzi,wananchi wanaishi kwa hasira na serikali iliyomo madarakani.
Kidumu chama cha Mapinduzi, mauji yanazidi nchini
Kidumu chama cha Mapinduzi, wafanyakazi wanakamdamizwa na kunyanyaswa, mishahara haiongezwi.
Kidumu chama cha Mapinduzi, elimu ya kimagumashi inazidi kutolewa......
Kidumu,.kidumu,.kidumu, ahhhhhaa Kidumu chama cha Matumbuzi.
Kidumu JPM mikataba mibovu unasahishwa
Kidumu JPM sheria mbovu inarekibishwa
Kidumu JPM wezi wa mali za umma wamebanwa
Kidumu JPM Wapinzani wapiga dili wamebanw
Kidumu JPM Mafisadi sugu na wadogo wahamia chadema
Kidumu JPM wenye vyeti feki wamehamia chadem
Kidumu JPM Ccm wamekuwa watezi wa wanyonge
Kidumu JPM Viwanda vilivyokufa vinafuguliwa
Kidumu JPM gia ya angani imeshindwa kukata upepo
 
Nakubaliana na Mhe Zitto asilimia mia moja: "Tumekabidhi nchi kwa washamba na limbukeni wa madaraka". Kama watu hawawezi kujua mstari unaoligawa Jeshi la Wananchi wa Tanzania na itikadi za vyama, basi tuwasaidieje?!!! Ila kinachonitia moyo ni kwamba asilimia 80 ya askari niliopata kuongea nao hawaisemi vizuri CCM.
 
Wewe kichwa chako hakipo sawasawa..

Iwe ukweli au uongo.. Jeshi la wananchi wa Tanzania halina chama na haliruhusiwi kujiingiza kwenye siasa na hiyo ndio sababu unaona linabakia na heshima yake miaka yote..

Kutokea mpumbavu mmoja akatumia jukwaa la JWTZ kufanya siasa wewe unaona ni sahihi?

Una akili wewe?
Usihangaike nae huyo mkuu kitoko kina Fanya kazi yake kichwani
 
Kumbe ndio maana siku hizi kamisheni za maafisa wa Jeshi zinatolewa nje ya kambi zao ili kuwapa nafasi wanasiasa kuongea utumbo wao ambao wasingeweza kuusema pale TMA Monduli maana sio mahali pa siasa.

RC wa Arusha alipopewa nafasi ya kutambulisha wageni akatumia nafasi hiyo kuingiza ujinga wa siasa kwa kusema "hizi unazoziona mheshimiwa rais ni rasharasha, mvua yenyewe ni 2020" kisha akawageukia wananchi "watatuwezaaa!"

Sura za makamanda wa Jeshi jukwaani zilionyesha kukereka na kushangaa! Kwenye shughuli kubwa za kijeshi huwa hakuna mambo ya "vyama" lakini amiri mkuu anaonyesha halielewi hilo.

Je haelewi kwa sababu zile alizosema Zitto? Ushamba na uzumbukuku au kuna kingine!
RC arusha na dsm, wananipaga wakati mgumu juu ya weledi wao.... Mtima WANGU una wahaka sana dhidi ya RCs hawa.... Sijui wapoje yaani?????
 
Kidumu JPM mikataba mibovu unasahishwa
Kidumu JPM sheria mbovu inarekibishwa
Kidumu JPM wezi wa mali za umma wamebanwa
Kidumu JPM Wapinzani wapiga dili wamebanw
Kidumu JPM Mafisadi sugu na wadogo wahamia chadema
Kidumu JPM wenye vyeti feki wamehamia chadem
Kidumu JPM Ccm wamekuwa watezi wa wanyonge
Kidumu JPM Viwanda vilivyokufa vinafuguliwa
Kidumu JPM gia ya angani imeshindwa kukata upepo
Huku kwetu FISIEM imekwisha kwisha kwisha kabisa,chali cha mende. Tunatamani uchaguzi ufanyike, tuisulubishe!!! Tunaushukuru uongozi wa JPM kwa kuiwekea kitanzi madhubuti,ambacho kinainyonga taraaatiiiiibu.
 
Viongozi nawasihi tuwe tunapunguza immotions has a tunapokuwa mbele ya wakuu wetu na wale unaowarumikia.

- Hivi hilo tukio lilikuwa ni na kisiasa?

- Hivi huyu mheshimiwa ni mkiongozi wa chama au serekali ambae anatakiwa kuwatumikia wananchi bila ushabiki wa kichama?

- Kwa mini tunafanya siasa wakati wengine tumewazuia?

Dhuluma ni mbaya sana.

Watu wanasononeka Ila tu ni kwa vile hawana cha kufanya.Kwani mwenye nguvu Mpishe.

Ila ijulikane kuwa machozi yanayodondokea mioyoni hayakuwaacha wadhalimu salama.

Naamini wote mnamwamini Mungu miiyoni mwenu na huwa mnapata hata sekunde ya kumwabudu au hata kumtaja kama sio kumtafakari.
 
Huku kwetu FISIEM imekwisha kwisha kwisha kabisa,chali cha mende. Tunatamani uchaguzi ufanyike, tuisulubishe!!! Tunaushukuru uongozi wa JPM kwa kuiwekea kitanzi madhubuti,ambacho kinainyonga taraaatiiiiibu.
Sema kwenu ni wapi tuje, mtaipenda
 
Kidumu JPM mikataba mibovu unasahishwa
Kidumu JPM sheria mbovu inarekibishwa
Kidumu JPM wezi wa mali za umma wamebanwa
Kidumu JPM Wapinzani wapiga dili wamebanw
Kidumu JPM Mafisadi sugu na wadogo wahamia chadema
Kidumu JPM wenye vyeti feki wamehamia chadem
Kidumu JPM Ccm wamekuwa watezi wa wanyonge
Kidumu JPM Viwanda vilivyokufa vinafuguliwa
Kidumu JPM gia ya angani imeshindwa kukata upepo
Umemsahau boya BASHITTE
 
Natamani hii nchi iingie kwenye majaribu kwanza ili tushike adabu!
Usiwe mpumbavu,maneno uumba,kuna wakati watanzania baada ya kuuchoka upole wa JK waliomba kuletewa dikteta,sasa wamebipiwa wanapuga kelele,wakipigiwa je? Omba vyema machoni pa Bwana
 
Back
Top Bottom