jerrysonkiria JF-Expert Member Joined Sep 5, 2014 Posts 2,228 Reaction score 2,902 Oct 24, 2016 #1 Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo. Mfano: amekufa=ameaga dunia mrembo=ua emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo. Mfano: amekufa=ameaga dunia mrembo=ua emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
Marlex Jr JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,823 Reaction score 2,426 Oct 25, 2016 #2 Tongoza = shawishi
K Kaharo JF-Expert Member Joined Sep 26, 2014 Posts 520 Reaction score 648 Oct 26, 2016 #3 Tigo = jicho