Maneno machache unayotakiwa kuyafahamu ili wanasiasa wasikupe tabu

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,068
151,315
"A hungry polician is dangerous than a lion, and a greedy politician is dangerous than hyena, whereas a hypocrite politician changes his or her stance (position) on the same subject depending on the circumstances similar to the way a chemeleon changes its colour depending on its surroundings.

Hivi ndivyo baadhi ya wanasiasa walivyo duniani na ndio maana kuna nchi ziko vitani,baadhi ya wanasiasa hawana misimamo,baadhi wanasaliti wananchi wao na wengine viapo vyao na baadhi wako radhi hata kumwaga damu ili waingie madarakani au wabaki madarani,n.k.

Ndio maana watu wengie siku hizi hawapi kura na wengine hawataki kabisa kusikia habari za siasa na wanasiasa.

Unaweza usipende maneno haya lakini unaweza kujikuta unalazimika kuyakumbuka from time to time hata kama huyapendi.
 
Yes you are right 100%!!! Imagine 2015 what you did was not fair for our nation!! Exchange of dr slaa for lowasa was quiet wrong!!! You insulted Mr Lowasa that he is the thief yes you picked him to be your presidential candidate!!! What this fair?
 
Jiulize huyu Dr.nae alifanya nini baada ya hapo.

Hakusimama upande wa wale aliokuwa akiwapinga siku zote?
 
Yes you are right 100%!!! Imagine 2015 what you did was not fair for our nation!! Exchange of dr slaa for lowasa was quiet wrong!!! You insulted Mr Lowasa that he is the thief yes you picked him to be your presidential candidate!!! What this fair?
Wanasiasa kujiuzulu kwasababu za kipuuzi kabisa kumethibitisha maneno haya niliyoyasema mwaka jana.
 
Yes you are right 100%!!! Imagine 2015 what you did was not fair for our nation!! Exchange of dr slaa for lowasa was quiet wrong!!! You insulted Mr Lowasa that he is the thief yes you picked him to be your presidential candidate!!! What this fair?
Mkuu ukienda huko na sisi tutaenda upande mwingine , wakati haijawa rahisi hadi leo kuthibitisha wizi wa lowassa ( kumbuka Mwakyembe na Kikwete bado wako ccm ambayo inamiliki polisi wote ) , lakini ni rahisi mno kuthibitisha kwamba Dr Slaa alizaa watoto na mwanamke akiwa bado askofu wa kikatoliki ( naweza kuthibitisha ) , wakati huohuo bado sijakusimulia jinsi Slaa alivyoacha kuwa Katibu mkuu wa TEC , niishie hapa kwa sasa , nitarudi ukiendelea kuleta kiherehere .
 
Back
Top Bottom