Maneno haya yana Ukweli ndani yake!!!!

Mi nilivyokuwa teeneger ndio ningechanganyikiwa, lakini siku hizi nope, demu wowote akinizingua ni kibuti tu, kisha naenda bar kula bia zangu.
 
Ni kweli.

Na si hata kwenye ulimwengu wa mapenzi peke ake hata rafiki yako akikusaliti au atakapokusaliti
 
Mi nilivyokuwa teeneger ndio ningechanganyikiwa, lakini siku hizi nope, demu wowote akinizingua ni kibuti tu, kisha naenda bar kula bia zangu.

...sio demu, unaye mpenda. Ukisema hujapenda hapo sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…