Nessa mbise Member Joined Dec 12, 2018 Posts 21 Reaction score 19 Jun 26, 2022 #1 Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox Attachments 48D2D2EF-115F-4B95-8ACF-F4562EF2A151.jpeg 46 KB · Views: 33
Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox
Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 9,016 Reaction score 11,905 Jun 27, 2022 #2 Nessa mbise said: Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox Click to expand... Mbona hilo swali ni jepesi sana, mkuu.
Nessa mbise said: Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox Click to expand... Mbona hilo swali ni jepesi sana, mkuu.
Nessa mbise Member Joined Dec 12, 2018 Posts 21 Reaction score 19 Jun 27, 2022 Thread starter #3 Njoo inbox basi tuyajenge
Nessa mbise Member Joined Dec 12, 2018 Posts 21 Reaction score 19 Jun 27, 2022 Thread starter #4 Meneja Wa Makampuni said: Mbona hilo swali ni jepesi sana, mkuu. Click to expand... Njoo inbox tuyajenge
Meneja Wa Makampuni said: Mbona hilo swali ni jepesi sana, mkuu. Click to expand... Njoo inbox tuyajenge
Nessa mbise Member Joined Dec 12, 2018 Posts 21 Reaction score 19 Jun 27, 2022 Thread starter #5 Ultimate said: Mbona swali lilikua kwenye test ya International economics. chuo gani hichi mkuu Click to expand... CBE, Mkuu naomba msaada deadline 28th
Ultimate said: Mbona swali lilikua kwenye test ya International economics. chuo gani hichi mkuu Click to expand... CBE, Mkuu naomba msaada deadline 28th
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Jun 27, 2022 #6 Nessa mbise said: Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox Click to expand... Na umesema una soma masters?
Nessa mbise said: Natafuta mtaalamu au mwalimu anayejua Managerial Economics nina assigment ya kufanya ... ani check Inbox Click to expand... Na umesema una soma masters?
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Jun 27, 2022 #7 Nessa mbise said: CBE, Mkuu naomba msaada deadline 28th Click to expand... Na ukipata masters yako utaenda kuwa katibu mkuu wa fedha alafu tunakesha tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini. Anyway kama mwigulu kaweza kuwa waziri wa fedha hata wewe unaweza... ndio nchi yetu hii!
Nessa mbise said: CBE, Mkuu naomba msaada deadline 28th Click to expand... Na ukipata masters yako utaenda kuwa katibu mkuu wa fedha alafu tunakesha tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini. Anyway kama mwigulu kaweza kuwa waziri wa fedha hata wewe unaweza... ndio nchi yetu hii!
Nessa mbise Member Joined Dec 12, 2018 Posts 21 Reaction score 19 Jun 27, 2022 Thread starter #8 Upepo wa Pesa said: Na ukipata masters yako utaenda kuwa katibu mkuu wa fedha alafu tunakesha tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini. Anyway kama mwigulu kaweza kuwa waziri wa fedha hata wewe unaweza... ndio nchi yetu hii! Click to expand... Majibu yako mazuri... Asante
Upepo wa Pesa said: Na ukipata masters yako utaenda kuwa katibu mkuu wa fedha alafu tunakesha tunajiuliza kwanini Tanzania ni maskini. Anyway kama mwigulu kaweza kuwa waziri wa fedha hata wewe unaweza... ndio nchi yetu hii! Click to expand... Majibu yako mazuri... Asante