Mh!Huo mkao wa mama Graca Machel sio mchezo.Anyway namtakia mzee Mandela miaka mingine kibao.Watu kama hawa ndo wanastahili kuitwa Baba wa Taifa.Ni muwazi,mkweli,hana hata chembe ya ufisadi wala tamaa ya utajiri!Gerezani miaka 27,kwenye Urais miaka 4 and he has EVER completely retired from politics na wala hafanyi Remote Controlling!Kingunge Ngombale Mwiru unaona wazee wenzako?