Mazishi ya hayati nelson mandela yapo live star tv kwa ushirikiano na sabc news!
===============================================
===============================================
UPDATES:
Viongozi mbalimbali wa south africa wamehutubia kwa kutumia lugha zao za asili, na hata MC mwenyewe anatumia lugha ya asili mara nyingi iwezekanavyo. Hivyo wanaenzi lugha zao za asili.
SWALI MUHIMU SANA:
Je, rais wetu Jakaya Kikwete atatuwakilisha kwa kiswahili ama kiingereza?
Tusubiri tuone maana yupo kwenye list ya wazungumzaji leo.
=================================================
=================================================
UPDATES:
Rais J.K ametoa speech kwa kiingereza. Kaweka na maneno kidogo ya kizulu. Full stop.
Kuna haja ya kuweka kiingereza kwenye lugha ya kitaifa bila kuchelewa!
BADO KISWAHILI KINAKOSA JUKWAA KWENYE INTERNATIONAL COMMUNITY.