Mandela apata kikombe cha Loliondo?

Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Posts
42,099
Reaction score
12,926
Kuna taarifa huku mtaani mzee huyu nae alikuja kupata kikombe Loliondo, wenye taarifa ni kweli? Au ni promo ya tiba ya babu??
 
Jama! Kama kuna mwenye picha yake akipata kikombe a2wekee hewani,maana itakuwa ni moja ya historia kwa Babu "Mwaisapile"
 
Kweli itakuwa historia kwa babu kama ni kweli!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…