CleverKING
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 8,502
- 25,469
Du umenikumbusha mbali Mkuu. Hongera zako kwa kumbukumbu mjarabu!
, aisee mkuu umekumbuka tukio gani, mpaka kuleta hii kumbukumbu?
Nimekumbuka enzi za kuvaa visoda shingoni vya kufanyia hesabu pamoja na vijiti, aisee mkuu umekumbuka tukio gani, mpaka kuleta hii kumbukumbu?
Ahahahah baaaasi, naomba uishie hapo hapo mkuu. Chacha ziliniunguza na jua la miaka hiyo.Nimekumbuka enzi za kuvaa visoda shingoni vya kufanyia hesabu pamoja na vijiti
Ndo yule alokula mpaka tumbo likapasukaTumbo niachie nimwachie manenge vji, tumbo anakula tu.
Darasa la pili.Darasa la ngapi hilo ?
Daah! Mkuu hiyo story nakumbuka heading yake ilikua Kula mno ni hasara...Ndo yule alokula mpaka tumbo likapasuka
Chachacha tuliziita mwisho sa sita..Those were the better daysAhahahah baaaasi, naomba uishie hapo hapo mkuu. Chacha ziliniunguza na jua la miaka hiyo.
Ashukuriwe aliyeleta malapa ya Skyway.
Mkuu enzi hizo mtu ukivaa ndara/malapa yanayoitwa/mark BATA ulikua unaonekana unazoChachacha tuliziita mwisho sa sita..Those were the better days
Skyway wadada walikuwa wanatokea Christmas,akipiga na readymade yake ya njano utamtaka.Ahahahah baaaasi, naomba uishie hapo hapo mkuu. Chacha ziliniunguza na jua la miaka hiyo.
Ashukuriwe aliyeleta malapa ya Skyway.
Hahahaha hiki kitbu ndo nilichojifunzia kujua kusoma mfalme mwenye maskio kma ya punda
La piliDarasa la ngapi hilo ?
Ebu jiulize chekechea Hakuna ila watu tulikuwa vzr nakumbka tulikua tunashndna sana ilikuwa ukichapwa na mwalmu kwa kushndwa kusoma cku njia nzma unazomewa nakuambia ucku hulali utahakikisha kilichokushnda mpka unakijuaLA kwanza hiyo, hata chekechea nilikuwa hazipo